Jasho Kwa mtoto wa mdogo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jasho Kwa mtoto wa mdogo!!

Discussion in 'JF Doctor' started by Akili Unazo!, May 12, 2010.

 1. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mk Doctor wa JF naomba msaada wa kitaalum hivi ni hali ya kawaida kwa mtoto mdo wa ambeye hajafikisha mwaka mmoja kuwa anatokwa na jasho akiwa amelala hata kipindi cha baridi.

  Kuna madhara yoyote?

  Ushauri mkuu
   
 2. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  angalia chakula unayompa! jasho inaendana na diet na metabolizim bana, isije ikawa mtoto wa mwaka mmoja unamlisha ugali na kitimoto hapo atatoka jasho kuliko mwanariaza. kama lishe sio kesi ,ignore my veri valuable advise.
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  May 12, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi nina uhakika mtoto wako hana tatizo lolote lakini kama anatokwa jasho wakati wa kumlisha chakula inaweza kuwa ni tatizo.
  Hapa chini ni orodha ya baadhi ya dalili za matatizo zinazopatikana wakati wa utoto. (Kutoka tovuti http://tchin.org/aware/symptoms.htm):

  Parents should be alert to the following symptoms in infancy:
  • Tires easily during feeding (i.e. falls asleep before feeding finishes
  • Sweating around the head, especially during feeding
  • Fast breathing when at rest or sleeping
  • Pale or bluish skin color
  • Poor weight gain
  • Sleeps a lot - not playful or curious for any length of time**
  • Puffy face, hands, and/or feet*
  • Often irritable, difficult to console
   
 4. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Huyu dogo ni kwamba kwakweli yupo vizuri tu ila ni kweli akiwa analishwa kwa kuwa anakuwa hataki na anafanya fujo huwa jasho linatoka na huwa ni mtu anayecheza mno yaani hatulii usipomfuta usoni yaani ni balaa tu.alalapo tu huwa napo tunalala na kitamba ili kufuta jasho pindi anapokuwa ananyonya ndo maana nikaja hapa kuuliza kwa zoeefu kuwa je hili lanamna hii huwa ni tatizo na kama ni tatizo nini tiba yake?
   
 5. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  akili,ukitoa post unakimbia....na kurudi na mpya,.sasa sijui zetu tutachanganyaje na zako
   
 6. B

  Bawa mwamba JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 352
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  X-plaster nimeipenda hiyo,na ya ziada Often irritable, difficult to console .Mtoto wa umri huo kama halii hana matatizo mzee,apewe nyonyo tu kama bado anapewa ,kilio ni kiashirio cha ugonjwa,mengineyo ni utambuzi wa mzazi kuona kuwa hili mbona huwa halipo kwa watoto wengine,na hivyo kuuliza wengine na hatimaye kuchukua hatua.
   
 7. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Mkuu mbona nipo wala sijakimbia kwani kuna post nilishawahi kuiweka nikaikimbia kama ya Da sophy?
   
 8. Akili Unazo!

  Akili Unazo! JF-Expert Member

  #8
  May 13, 2010
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 1,234
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa kweli mkuu kulia halii kabisa yupo ok ila tu nilikuwa nataka kujua hilo la jasho pale anapokuwa ananyonya au anapokuwa amelala
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  May 14, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Mimi kwa ushauri wangu wa mwisho ni kumuona daktari wa watoto.
   
Loading...