Jarida limemharibu mdogo wangu

Jarida limemharibu mdogo wangu

AkiliMingi AM

Member
Joined
Jul 5, 2020
Posts
88
Reaction score
60
Hanari wanaJF,

Ilikuwa mwaka 2013 , mdogo wangu alikuwa kidato cha kwanza, siku moja alirudi nyumbani kutoka shule alipo maliza kubadili nguo za shule na kuvaa nguo za nyumbani akaniuliza "kupiga punyeto ni sawa sawa na kufanya mapenzi na mwanamke?" Mimi nikamjibu "kupiga punyeto ni sawa na kujiridhisha matakwa yako bila mwanamke ila kwa kutumia hisia kama uko na mwanamke vile"

Usiku wa siku hiyo niliingia chumbani kwake nikakuta jarida flani la hapa Tanzania katika meza yake ya kusomea, nikaamua kulipitia pitia nikakutana na maada inayo sema punyeto haina madhara yoyote bali inasaidia mtu kuepukana na kupata magonjwa ya zinaa na ubakaji.

Walikuwa wameidadavua iyo mada vizuri haswaaa, basi nikagundua sababu ya dogo kuniuliza kuhusu punyeto ni lile jarida.

Hiyo ilikuwa ni 2013 ila sasa dogo amekuwa muhanga wa punyeto, anapiga kama hana akili nzuri kila siku anapiga punyeto na kuna wakati ana niambia akiona hapati usingizi basi anapiga chap alafu anaishia usingizini. Japo anataka kuacha ila anashindwa kabisa, na kuna wakati ananiambia kuwa hata akiwa na demu wake basi anashindwa kumwaga kabisa adi inabidi amalizie na mikono mingi.

Nimwambie atumie njia gani ili aweze kuacha kabisa hilo swala? maana amekuwa mtumwa wa punyeto kabisa.!!
 
Puli ni kuji-condition mwenyewe, Nakumbuka kuna dogo alikujaga shule na jarida la picha za utupu la Kimarekani, wana wakawa wanakodisha kwa jero kwa saa na nusu, lakini walikuwa hawamalizi hata page 10 wanajikamulia kweye boksa, wengine toi, mafuta na sabuni ndo ilikuwa nyenzo kuu.

Nilivojaribu kulicheki lile gazeti mizuka ikawa inakuja sana lakini sikuthubutu kupiga nyeto...niliwahi kupiga miaka ya nyuma lakini nikaacha...

Kwa kifupi sio mchama wa CHAPUTA....
 
Kaka mm huwa nasema ukweli ... nisha wahinkufanya ila sasa ninia miaka mingi cjafanya na sikumbuki ni lini nilifanya mara ya mwisho!!! nlicho kisema apo ni ukweli kimemkumba mdogo wangu..
Basi tumia njia hiyo hiyo iliyokufanya wewe uache na umshauri mdogo wako. You don't need us, do you???
 
Mwaka huohuo nilikuwa form one, mwenyewe nikaona jarida la FEMA likiwa na mada hiyo. Tukalijadiri watu watatu mimi nilikuwa sijawahi kusikia kabisa hicho kitu. Wale wengine mmojawapo ndo akajaribu badae sana. Mimi nilikuwa na mchuchu wakati huo, sana sana FEMA ilinifundisha kutumia latex cndm. Nilipokuwa A Level kuna jamaa akawa anaeleza kuwa walikuwa na ligi ya chaputa, wazo lilitoka waliposoma jarida hilo wakati wapo form II.
Basi wale waandishi wana influence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom