Jaribuni biashara hii kwa mtaji wa 160000 tu!

TO2004

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2013
Posts
540
Reaction score
220
WanaJF jaribuni biashara ya sendos za kimasai za kike kutoka kenya mie imenisaidia sana sio sawa na kukaa bure.Ni biashara nzuri kwani wadada wengi wanazipenda hizi sendo kutokana na utofauti wake si kama zile za arusha na moshi.Kwa ushauri na maswali ni PM

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums
 
Kenya unazichukulia ngapi jamaa?au unazinunulia wapi?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
WanaJF jaribuni biashara ya sendos za kimasai za kike kutoka kenya mie imenisaidia sana sio sawa na kukaa bure.Ni biashara nzuri kwani wadada wengi wanazipenda hizi sendo kutokana na utofauti wake si kama zile za arusha na moshi.Kwa ushauri na maswali ni PM

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Ushauri na maswali weka hapa sio PM, unazidi kutupa wasiwasi na jina lako na biashara yenyewe inahusishwa Sendoz za kimasai na ww ndo Masai mwizi:frusty::A S 39::A S-confused1:
 
WanaJF jaribuni biashara ya sendos za kimasai za kike kutoka kenya mie imenisaidia sana sio sawa na kukaa bure.Ni biashara nzuri kwani wadada wengi wanazipenda hizi sendo kutokana na utofauti wake si kama zile za arusha na moshi.Kwa ushauri na maswali ni PM

Sent from my BlackBerry Z10 using JamiiForums

Mkuu we ni nomaaaa yani sendozi umenunua BB 10? Ngaoja na mie nianze!

Sent from my BlackBerry Q10 using JamiiForums
 
laki moja na sitin mtaji wa sendoz toka kenya? utachukua ngapi zakukulipa pamoja na gharama za usafir mkuu?
 
Unaletewa mie nipo dar na mzigo nakuletea mpaka hapa jijini ni pair 10 kwa 160000 it means 16000 kwa pair,ambapo wengi wanauza 20000-25000 reja reja
 
Unapewa mzigo hapa dar,mie naleta mzigo mkubwa then na supply kwa wanaoitaji.
 
its like fun but it"s real working just imagine each pair unamake 4000 kama utauza kwa 20000 na 9000 kama utauza kwa 25000.Total utakuwa una 90000 or 40000 it depend on your selling price
 
Huo sasa nu usanii wa waziwazi 1382096153246.jpg
 
Back
Top Bottom