Jaribu ufe Bongo hii

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104
[h=5]
[/h]


Jaribu uone kuwafanyia maaskari makunja wa bongo
 
utatupiwa kitu kizito chenye ncha kali mpaka uimbe ule wimbo wa kanda BONGO MAN "inde moniiiiiiii"
 
kwani ni lini na wapi hapo? Jaribu kutuwekea wazi zadi.
 
utakatwa "kining'inio" ili siku nyingine usifanye tena...
 
kuwa majasiri hapa duniani huyu naye ni mmoja wao!!
 
Symbol of resistance ... salute nyng sana kwa kamanda/jesh la mtu mmoja ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…