Hahahaaaa. Kaa pembeni best usichafuke.Hahahahaha, mimi chimo, ngoja nijikatae, nyie mna lugha yenu bana, wengine yatupasa tuwe watazamaji
Bs ndo nn asee
BS = Bull Shit
Hahaha ushamba mzigo dah asante kwa ufafanuzi
Kuna haja gani sasa ya kumtumia hela kama na yeye atairudisha?
Sio kila kitu mpaka kijibiwe na "too"
Labda anarudisha chenji...
kama kanga mtelezo !!!
Labda anarudisha chenji...
ha ha ha ha ha!!!!!!!!!!!!
wewe mbona hurudishagi chenji?????????
Hahaha kwa hiyo hata I miss you too ni chenji ya I miss you?
huwa zinaisha baby nikibakiza ntarudisha tu teh!!!
upo sawa kabsa sista! Hata vitabu vya din vyafundsha hvo,hamnaga kukwepa hyo!mwanaume kazi yake ni kutoa matunzo na kupenda
umeona eeeh! kwanza ukiachana na hili. kwanini umjaribu mpenzi wako?