Jaribu hii

Jaribu hii

Ndio vitu gani hivyo?

Andika jina lako kuanzia herufi ya mwisho kuja mwanzo...

If you can read this, type your name backwards in your comment..
attachment.php
 
Mpaka hapa hakuna aliepatia hata mmoja

Hakika wote hawajapatia, Hayo maandishi mpaka uwe mchonga mihuri ndio utaweza (alafu hiyo ni picha mpaka uandike pembeni alafu ndio unaipiga picha unai-attach vinginevyo kwa kutumia keyboard hapa ni issue nzito
 
Back
Top Bottom