Japokua nampenda lakini ukewenza sikubali...

Asante kwa ushauri wako, kitu nilicho mwambia bila kumficha mie mke wa pili sikai japo kua nampenda lakini kwa hilo ntashindwa
Sijuti na wala sitojuta kumkosa yeye na familia yake watoto wangu wanatosha sitokua wa kwanza wala wa mwisho kuachwa,talaka hataki kutoa anasema ataongea na mamake sasa tuna kuja bongo wote nxt week anakuja kuongea na mamake..

Huu ndio uamuzi wa kuchukua.

Mimi hapa sitoingia kwenye dini bali dunia. Hapo hakuna cha kusubiri wala nini. Ikiwa mkwe wako kaanza hizo, ataendelea kukuchuna daima hata baada ya kumvumilia mume wako kuoa tena.

Ninachokushauri- AMUA HARAKA SANA - usiendelee kunung'unika tu. Kitu cha kwanza ondoka hapo hivi sasa, na mweleze kabisa kuwa akioa hurejei tena kwake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom