mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Miaka ya ivi karibuni kumekuwa na matukio mengi ya watu wasio waislamu kufanyiwa fujo au kuuwawa ndani ya Zanzibar. ivi kuna mtu anaweza sema hakuna UDINI? pia cha ajabu wahusika awakamatwi naisi hata viongozi wana support, shame on you Zanzibar