Japhet Justine, Mkurugenzi mkuu wa benki mdogo kuwahi kutokea Tanzania!

Ukweli mchung japo naona baadh ya watu wanakutolea mapovu.
 
Yaan siku zote ww huwezi kuwa na mawazo positive mkuu
 
Kuna kitu Kinaitwa Talents Duniani.Unakijua?Kuna kitu kinaitwa shule Unakijua vizuri?
Always Talents pays..Talents Ni Gift..Wachache wanazijua Talents Zao na kuzitumia.
Akuna kinacholipa Duniani Zaidi Ya talents.
Usimfananishe Jamaa na Diamond au samatha.Utakuwa unakosea sana
 
Mi kwakweli nimesikitika, wanawake tulivyojaa mauwezo namna hii!
 
Japhet Justine yuko vizuri sana na ataitoa ICU hiyo bank kile ni kichwa na hata ishia hapo graph itaendelea kupanda zaidi MUNGU azidi kumbariki
 
Kwahiyo ulikuwa unashauri wamchukue Samata ndio awe mkurugenzi?
Dunia hatuwezi kuwa sawa kipindi samata atastaafu huyu atafanya kazi hadi umri wa Ndulu ili hiyo pesa ya samata iwe salama kwa nini kila wakati tunafananisha maisha badala ya kukubali kuwa kila mtu anafungu lake (naanza kuwachukia motivational speakers maana wanajza watu akili hewa)
 
Kwa hiyo wote tuingie uwanjani tucheze? Huyo Samatta siku akivunjika mguu itakuwa imebaki stori ila aliyeenda shule hata akatike viungo vyote bado anamata
 
ndio maana tajiri na mmilki wa fesibuku "maki zubagi" machale yalimcheza mapema.

ila juzi kati ndio kapata degree yake kiubweteeeee....hii imekuja baada ya kumeki mkwanja wa kutosha ktk biashara zake za mitandao ya kijamii.

 
Tunakaririshwa Vibaya.

 
Kwa hiyo wote tuingie uwanjani tucheze? Huyo Samatta siku akivunjika mguu itakuwa imebaki stori ila aliyeenda shule hata akatike viungo vyote bado anamata

jidanganye ukienda shuke ukatike mikono, uwe kipofu au kilema chochote halafu uendelee kuwa ceo.. labda kampuni iwe yako au ya baba yako

point yangu ni miaka 34 sio mtoto. kina ngowi hawajafika hiyo wana kampuni zao za mabilion..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…