Japani imetengeneza Tv ambayo unaweza kuonja ladha ya vyakula

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,722
Sisi tukiendelea na siasa kwa wenzetu wanataka kujua huko mbele dunia itakuwa vipi.!

Huko Japana wamebuni teknolojia mpya ya TV imetengenezwa ambayo inaweza kuiga ladha ya chakula

mbunifu kwa:
Profesa Homei Miyashita wa Chuo Kikuu cha Meiji, Tokyo, ambaye alipendekeza hivyo
inaweza kutumika kutoa mafunzo kwa wapishi au sommeliers kwa mbali,
"Lengo ni kuwawezesha watu kuwa na uzoefu
ya kitu kama kula kwenye mgahawa upande mwingine wa duniani, hata nikiwa nyumbani," aliambia Reuters.

kwa hiyo unaweza kuonja mapishi hata kama huko mbali na hoteli,nchi nyengine na n.k

IMG_3265.jpg

IMG_3264.jpg

IMG_3263.jpg
 
sisi tikiendelea na siasa kwa wenzetu wanataka kujua huko mbele dunia itakuwa vipi.!

huko japana wamebuni teknolojia mpya ya TV imetengenezwa ambayo inaweza kuiga ladha ya chakula

mbunifu kwa:
Profesa Homei Miyashita wa Chuo Kikuu cha Meiji, Tokyo, ambaye alipendekeza hivyo
inaweza kutumika kutoa mafunzo kwa wapishi au sommeliers kwa mbali,
"Lengo ni kuwawezesha watu kuwa na uzoefu
ya kitu kama kula kwenye mgahawa upande mwingine wa duniani, hata nikiwa nyumbani," aliambia Reuters.

kwa hiyo unaweza kuonja mapishi hata kama huko mbali na hoteli,nchi nyengine na n.k

View attachment 2055296
View attachment 2055297
View attachment 2055298
Nyoosha kiswahili para ya mwisho, kama huko au kama uko, au kama hauko.
 
Sisi tukiendelea na siasa kwa wenzetu wanataka kujua huko mbele dunia itakuwa vipi.!

Huko Japana wamebuni teknolojia mpya ya TV imetengenezwa ambayo inaweza kuiga ladha ya chakula

mbunifu kwa:
Profesa Homei Miyashita wa Chuo Kikuu cha Meiji, Tokyo, ambaye alipendekeza hivyo
inaweza kutumika kutoa mafunzo kwa wapishi au sommeliers kwa mbali,
"Lengo ni kuwawezesha watu kuwa na uzoefu
ya kitu kama kula kwenye mgahawa upande mwingine wa duniani, hata nikiwa nyumbani," aliambia Reuters.

kwa hiyo unaweza kuonja mapishi hata kama huko mbali na hoteli,nchi nyengine na n.k

View attachment 2055296
View attachment 2055297
View attachment 2055298
Ni maendeleo ya teknolojia, Ila ina umuhimu gani?
 
Back
Top Bottom