Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Nchi ya Japan imeipiku China katika kuidai Marekani.
China ilikua ikiongoza katika nchi zilizokua zinaidai Marekani kwa miaka kadhaa, sasa Japan imeipiku China kua mdai mkubwa wa Marekani.
Japan sasa inamiliki hisa kubwa za madeni kuliko nchi yoyote Duniani.
news.cgtn.com