Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,280
Mbona dubai tayari zinatumika? Sio ya kwanza duniani kufanyiwa majaribio wangesema ya kwanza kufanyiwa majaribio na kampuni yao.
Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first public demonstration for a flying car in Japanese history.
hata Japan sio ya kwanza Nec walionesha gari lao mwaka jana, sio tu linapaa bali linaweza pia kusimama (hover) angani hadi kwa dakika.Hata heading nayo imesema Japan, Dubai huenda yanatengenezwa nchi nyingine.
hata Japan sio ya kwanza Nec walionesha gari lao mwaka jana, sio tu linapaa bali linaweza pia kusimama (hover) angani hadi kwa dakika.
It was the first public demonstration for a flying car in Japanese history.
The car, named SD-03, manned with a pilot, took off and circled the field for about four minutes.
“We are extremely excited to have achieved Japan’s first-ever manned flight of a flying car in the two years since we founded SkyDrive… with the goal of commercializing such aircraft,” CEO Tomohiro Fukuzawa said in a statement.
nimeeka video kuonesha kwamba ipo more advanced, ku circle na ku hover ni ngumu zaidi ku hover, huko kunata angani,Hivi ni mie ndio nimeandika au kwenye post wameandika ni mara ya kwanza? Kwenye hichi ki prototype umeweka, kuna mtu humo ndani? Hii si ni kama ki drone tu? Naomba usome vizuri haya maandishi mkuu.
nimeeka video kuonesha kwamba ipo more advanced, ku circle na ku hover ni ngumu zaidi ku hover, huko kunata angani,
kuhusu kuingia mtu again zipo kibao, sio concept ngeni nilitoa mfano wa dubai hapo juu...
achen bas hamna kitu kama hicho ni theory tuu na mipango ya hiyo miji but hamna gari tayar kama hizo za kupaa kama ingekuepo isingekua kaz now kwa hyo kampuni kuanza kutengeneza techlogia na wala isinge wachukua had 2023 ndo liwe tayar wkt technlogy ipo tayarMbona dubai tayari zinatumika? Sio ya kwanza duniani kufanyiwa majaribio wangesema ya kwanza kufanyiwa majaribio na kampuni yao.
Kichwa cha habari kinasema Japan yafanya jaribio la Kwanza kurusha Gari kwa dakika 4Tumefika huku kwa kauli yako ya mwanzo uliyoandika nika kunukuu. Sio kwamba sijawahi kuona au sifuatilii mwenendo wa haya mambo.
Hadi hapa sijajua unakubali kitu gani na unakataa kipi.
Hauoni tunarudi kulekule tulikotoka? Nikiandika wao wamesema kwa Japan na hiyo kampuni ni mara ya kwanza tena wametanabaisha aina ya hicho kifaa.Kichwa cha habari kinasema Japan yafanya jaribio la Kwanza kurusha Gari kwa dakika 4
Mimi ndio nimepinga si la kwanza Kwa japan ama Kidunia ama kwa dakika 4, zipo prototype ambazo zimezidi dakika 4 za magari yanayopaa zinabeba hadi pound 600 mfano angalia hii.
Pilotless air taxi from China’s Ehang takes flight in the US for the first time
Sababu sisi hatutengenezi magari basi inamaanisha dunia nzima haitengenezi magari?achen bas hamna kitu kama hicho ni theory tuu na mipango ya hiyo miji but hamna gari tayar kama hizo za kupaa kama ingekuepo isingekua kaz now kwa hyo kampuni kuanza kutengeneza techlogia na wala isinge wachukua had 2023 ndo liwe tayar wkt technlogy ipo tayar
Ukitoa hio Ya Nec nilioweka zote zilizobakia zina binadamu Ndani, Ya Ehang na Hio ya Daimler unless hujaangalia hizo Video.Manned flight of a flying car.
Ukitoa hio Ya Nec nilioweka zote zilizobakia zina binadamu Ndani, Ya Ehang na Hio ya Daimler unless hujaangalia hizo Video.
Ya Ehang ina uwezo wa pund 600 ama kilo 270 hapo watu wanne walioshiba wanaingia
My mistake nimechanganya Hyundai kama Kampuni ya Japan kumbe ni South Korea,Nime edit hiyo post mkuu, ili upate nilichokusudia.
Inamaana hapa tunatoka nje ya Japan sasa right?
My mistake nimechanganya Hyundai kama Kampuni ya Japan kumbe ni South Korea,
Ndio kwa kampuni nilizotaja hakuna ya Kijapan yenye working protoype na Binadamu,
Nitaangalia zaidi,