Japan yafanya jaribio la kwanza la kurusha gari inayopaa kwa dakika 4

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,479
9,234
A Japanese company has announced the successful test drive of a flying car.

Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first public demonstration for a flying car in Japanese history.

The car, named SD-03, manned with a pilot, took off and circled the field for about four minutes.

“We are extremely excited to have achieved Japan’s first-ever manned flight of a flying car in the two years since we founded SkyDrive… with the goal of commercializing such aircraft,” CEO Tomohiro Fukuzawa said in a statement.

“We want to realize a society where flying cars are an accessible and convenient means of transportation in the skies and people are able to experience a safe, secure, and comfortable new way of life.”

The SD-03 is the world’s smallest electric vertical takeoff and landing vehicle and takes up the space of about two parked cars, according to the company. It has eight motors to ensure “safety in emergency situations.”

“In designing an unexplored, new genre of transportation known as the flying car, we chose the keyword “progressive” for inspiration,” Design Director Takumi Yamamot said.

“We wanted this vehicle to be futuristic, charismatic and desirable for all future customers, while fully incorporating the high technology of SkyDrive.

The company hopes to make the flying car a part of normal life and not just a commodity. More test flights will occur in the future under different conditions to make sure the safety and technology of the vehicle meet industry standards.

The success of this flight means that it is likely the car will be tested outside of the Toyota Test field by the end of the year.

The company will continue to develop technologies to safely and securely launch the flying car in 2023, the news release said. No price has been announced.

IMG_20200830_085029.jpg
 
Mbona dubai tayari zinatumika? Sio ya kwanza duniani kufanyiwa majaribio wangesema ya kwanza kufanyiwa majaribio na kampuni yao.
 
Mbona dubai tayari zinatumika? Sio ya kwanza duniani kufanyiwa majaribio wangesema ya kwanza kufanyiwa majaribio na kampuni yao.

Sky Drive Inc. conducted the public demonstration on August 25, the company said in a news release, at the Toyota Test Field, one of the largest in Japan and home to the car company’s development base. It was the first public demonstration for a flying car in Japanese history.

Hata heading nayo imesema Japan, Dubai huenda yanatengenezwa nchi nyingine.
 
Hata heading nayo imesema Japan, Dubai huenda yanatengenezwa nchi nyingine.
hata Japan sio ya kwanza Nec walionesha gari lao mwaka jana, sio tu linapaa bali linaweza pia kusimama (hover) angani hadi kwa dakika.
 
hata Japan sio ya kwanza Nec walionesha gari lao mwaka jana, sio tu linapaa bali linaweza pia kusimama (hover) angani hadi kwa dakika.

Hivi ni mie ndio nimeandika au kwenye post wameandika ni mara ya kwanza? Kwenye hichi ki prototype umeweka, kuna mtu humo ndani? Hii si ni kama ki drone tu? Naomba usome vizuri haya maandishi mkuu.

It was the first public demonstration for a flying car in Japanese history.

The car, named SD-03, manned with a pilot, took off and circled the field for about four minutes.

“We are extremely excited to have achieved Japan’s first-ever manned flight of a flying car in the two years since we founded SkyDrive… with the goal of commercializing such aircraft,” CEO Tomohiro Fukuzawa said in a statement.
 
Hivi ni mie ndio nimeandika au kwenye post wameandika ni mara ya kwanza? Kwenye hichi ki prototype umeweka, kuna mtu humo ndani? Hii si ni kama ki drone tu? Naomba usome vizuri haya maandishi mkuu.
nimeeka video kuonesha kwamba ipo more advanced, ku circle na ku hover ni ngumu zaidi ku hover, huko kunata angani,

kuhusu kuingia mtu again zipo kibao, sio concept ngeni nilitoa mfano wa dubai hapo juu,
hii test ya Kampuni ya Ehang ya kichina ilifanyika Vienna

flying taxi dubai (ipo backed na watengezaji w Benzi)

kuna hyundai, audi, porsche, Airbus, toyota, uber etc wote kwa wakati mmoja ama mwengine wameonesha prototype zao za Magari ya kupaa.
 
nimeeka video kuonesha kwamba ipo more advanced, ku circle na ku hover ni ngumu zaidi ku hover, huko kunata angani,

kuhusu kuingia mtu again zipo kibao, sio concept ngeni nilitoa mfano wa dubai hapo juu...

Tumefika huku kwa kauli yako ya mwanzo uliyoandika nika kunukuu. Sio kwamba sijawahi kuona au sifuatilii mwenendo wa haya mambo.

Hadi hapa sijajua unakubali kitu gani na unakataa kipi.
 
Mbona dubai tayari zinatumika? Sio ya kwanza duniani kufanyiwa majaribio wangesema ya kwanza kufanyiwa majaribio na kampuni yao.
achen bas hamna kitu kama hicho ni theory tuu na mipango ya hiyo miji but hamna gari tayar kama hizo za kupaa kama ingekuepo isingekua kaz now kwa hyo kampuni kuanza kutengeneza techlogia na wala isinge wachukua had 2023 ndo liwe tayar wkt technlogy ipo tayar
 
Tumefika huku kwa kauli yako ya mwanzo uliyoandika nika kunukuu. Sio kwamba sijawahi kuona au sifuatilii mwenendo wa haya mambo.

Hadi hapa sijajua unakubali kitu gani na unakataa kipi.
Kichwa cha habari kinasema Japan yafanya jaribio la Kwanza kurusha Gari kwa dakika 4

Mimi ndio nimepinga si la kwanza Kwa japan ama Kidunia ama kwa dakika 4, zipo prototype ambazo zimezidi dakika 4 za magari yanayopaa zinabeba hadi pound 600 mfano angalia hii
Pilotless air taxi from China’s Ehang takes flight in the US for the first time
 
Kichwa cha habari kinasema Japan yafanya jaribio la Kwanza kurusha Gari kwa dakika 4

Mimi ndio nimepinga si la kwanza Kwa japan ama Kidunia ama kwa dakika 4, zipo prototype ambazo zimezidi dakika 4 za magari yanayopaa zinabeba hadi pound 600 mfano angalia hii.
Pilotless air taxi from China’s Ehang takes flight in the US for the first time
Hauoni tunarudi kulekule tulikotoka? Nikiandika wao wamesema kwa Japan na hiyo kampuni ni mara ya kwanza tena wametanabaisha aina ya hicho kifaa.

(The car, named SD-03, manned with a pilot. We are extremely excited to have achieved Japan’s first-ever manned flight of a flying car)

Hii video unaleta ya kampuni ya kichina waliorusha kifaa chao US.
Kwingine unaeleza kwamba hii imeruka dakika nne tu na kwa kuzunguka...ndio maana unanipoteza na kunitoa kwenye hoja ya msingi.
 
achen bas hamna kitu kama hicho ni theory tuu na mipango ya hiyo miji but hamna gari tayar kama hizo za kupaa kama ingekuepo isingekua kaz now kwa hyo kampuni kuanza kutengeneza techlogia na wala isinge wachukua had 2023 ndo liwe tayar wkt technlogy ipo tayar
Sababu sisi hatutengenezi magari basi inamaanisha dunia nzima haitengenezi magari?

hio project ya 2023 ni ya kwao Skydrive na sio kampuni nyengine duniani inaweza ikawa 2020, 2100, 3000 ama mwaka 5000 kwa kampuni nyengine.

Kampuni karibia zote za magari/usafirishaji/ndege zina prototype za flying car, sio skydrive pekee.

Na Dubai tayari zinatumika gari na pikipiki za kupaa, ila zipo limited kwa operation maalumu, mfano kuna foleni ya magari na uhalifu zinatumika kubypass hio foleni.

Na kampuni nilizotaja ni hao DaiMler (watengenezaji wa Benz) na Ehang kampuni ya Kichina, unaweza kwenda youtube kuna mamia ya Video yakionesha real world Testing.
 
Manned flight of a flying car.
Ukitoa hio Ya Nec nilioweka zote zilizobakia zina binadamu Ndani, Ya Ehang na Hio ya Daimler unless hujaangalia hizo Video.

Ya Ehang ina uwezo wa pund 600 ama kilo 270 hapo watu wanne walioshiba wanaingia
 
gari inayopaa si ni ndege ?, Tatizo sio uwezo wa kuwa na kitu kama hiki tatizo ni uendeshaji na vurugu mitaani atleast gari barabarani unajua uikwepe vipi sasa magari yakianza kupita kama nzi na mwewe itakuwa tatizo hauchelewi kuwa unatembea unashangaa unadondokewa na oil chafu au ganda la ndizi
 
Ukitoa hio Ya Nec nilioweka zote zilizobakia zina binadamu Ndani, Ya Ehang na Hio ya Daimler unless hujaangalia hizo Video.

Ya Ehang ina uwezo wa pund 600 ama kilo 270 hapo watu wanne walioshiba wanaingia

Nime edit hiyo post mkuu, ili upate nilichokusudia.

Inamaana hapa tunatoka nje ya Japan sasa right?
 
Nime edit hiyo post mkuu, ili upate nilichokusudia.

Inamaana hapa tunatoka nje ya Japan sasa right?
My mistake nimechanganya Hyundai kama Kampuni ya Japan kumbe ni South Korea,

Ndio kwa kampuni nilizotaja hakuna ya Kijapan yenye working protoype na Binadamu,

Nitaangalia zaidi,
 
My mistake nimechanganya Hyundai kama Kampuni ya Japan kumbe ni South Korea,

Ndio kwa kampuni nilizotaja hakuna ya Kijapan yenye working protoype na Binadamu,

Nitaangalia zaidi,

Nashukuru mkuu, lakini umenifanya na mimi niendelee kufuatilia zaidi haya mambo.

Umepotea sana siku hizi, au unafukuzia uheshimiwa? (joke).
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom