Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,347
- 2,755
Tunakokwenda panaogopesha sana watu wanaleta mchezo na Mungu waziwazi πββοΈπββοΈNinajichejekesha hapa. Mawe
Ulaya wanatengeneza Steak, kuku bila vichwa, wanauzwa supermarket na kusindika kwenye makop.Yaani teyari wanafanya hivyo, wengine wanasubiri leseni.
Hata hivyo, hujaumbika mpaka umekufa.
Nacheka kana mazuri. Mawe
Waliruhusu 2019 lakini mchakato unaanza kufanya kazi mwaka huu 2025 πββοΈ japo kuna baadhi ya Taarifa zingine wamesema Siri hawawezi sema lakini kwa ufupi tu wanasema wamefanikiwa kwa asilimia 75%Kuna mafanikio yoyote tangu 2019
Mkuu hapa tulipo panaogopesha.Tunakokwenda panaogopesha sana watu wanaleta mchezo na Mungu waziwazi πββοΈπββοΈ
Mkulu, nakuhakikishia hakuna binadamu yeyote yule bongo anyetaka akaumbwe tofauti na alivyo umbwa.Kwa maisha haya ya kibongo kuna watu wanaona Bora wakaumbwe upya Japan
Huu mfano wako wa kuku wa kienyeji na kisasa, ni sawasawa tu na mchina anavyozaa na mswahili n.k.hamna jipya sana...Watafanikiwa tu, kama kuna kuku wa kienyeji na kisasa, watashindwaje kwa binadamu?
Tunasherehesha jukwaa tu mkuu, I'm not seriousMkulu, nakuhakikishia hakuna binadamu yeyote yule bongo anyetaka akaumbwe tofauti na alivyo umbwa.
Naomba nikuulize kwa heshima na taadhima, ww una maisha gani ya kibongo yanayokufanya utake kuumbwa tena? Ondoa Siasa, Ondoa ubaguzi, ondoa any bias kwenye majibu yako, titaelewana
Kumbuka "hujafa, haujaumbika"
Wakianzia kwa maiti, kwa kuiwekea mashine ya mapigo ya moyo wanaweza kufanikiwa.Huu mfano wako wa kuku wa kienyeji na kisasa, ni sawasawa tu na mchina anavyozaa na mswahili n.k.hamna jipya sana...
Sema kutengeneza pure binadamu kama sisi..hawawezi na hawataweza: Mwanadamu ni perfect machine - yenye utashi na personal decisions - ni mashine ambayo sio programmed HAKUNA mashine nyingine yoyote inawezakuwa hivyo..
Hata akili mnemba wakati mwingine anajibu kipumbavu mpaka mtu unastuka