AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
Japani imechagua marafiki wa kuwekeza Afrika kuwa ni msumbiji, ethiopia(sio kenya) na mozambique. japan haijaichagua Tanzania kwasababu tz iko mikononi mwa wachina. kenya ipo kwa wamagaribi. inasemekana japani inapambana na china kupata nchi za kufaidi barani afrika na wiki hii waziri mkuu ABE anatembelea africa. hajaja tz.