Kuna watu hawajutii kuwapo ktk hii dunia
na aka kabibi ka uingereza kangatuke
Bunge la Japan limeidhinisha sheria itakayomuwezesha Mfalme wa nchi hiyo Akihito kuondoka madarakani, jambo ambalo litakuwa la kwanza kwa mfalme kung'atuka nchini humo kwa zaidi ya miaka mia mbili.
Zoezi la upigaji kura katika bunge la juu, limeoneshwa moja kwa moja na Televisheni.
Sheria hiyo mpya ilianza kupitishwa na bunge la chini wiki iliyopita.
Mfalme Akihito mwenye umri wa miaka 83 aliishangaza nchi hiyo, mwaka uliopita kwa kuelezea nia yake ya kung'atuka, kutokana na afya yake na umri.
Mwana wa Mfalme Naruhito anatarajiwa kushika nafasi hiyo.
Chanzo: BBC
Alipoteuliwa alifurahi sasa ile kuona salary slip akaguna...! Posho za uenyekiti wa chama ni kubwa zaidi na tamu na hauna presha... wacha tuone movieBongo limama linateuliwa kuwa RC na bado linang'ang'ania uenyekiti wa chama pinzani bila hata ya kuwa na aibu.!
Kale ni kakurunzinza ka hukona aka kabibi ka uingereza kangatuke
Ivi hawa jamaa wana raisi au mfalme sijaelewa hapo maana japani ni nchi ambayo sijawahi sikia kwenye matukio tangu nipo mdogo