January usilalamike, huo ndio ubatizo wa moto ambao mzee wako aliunadi hadharani kuwa utafanywa na bwana mkubwa

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,014
144,372
January acha kulalamika kwani ni mzee wako ambae alimsifia bwana mkubwa hadharani kuwa atabatiza watu kwa moto huku nyie katika chama chenu mkishangilia mkidhani hayatawakuta, na mkasahau kuwa kuna siku itakuwa zamu yenu na ndio maana mmechagua kukaa kimya wenzenu wanapotendewa uovu mkiamini kuwa mko salama kumbe mnajidanganya.

Mimi naomba tu na wewe ukabatize kwa moto tena ulio mkali zaidi ili maono ya mzee wako yatimie labda na yeye atafurahia kuona aliyoyasema yanatimia hata kwa mwanae na ikiwezekana wakuburuze kwa Pilato tena bila kupewa dhamana maanan hizi sheria zinazonyima watu dhamana mlizitunga wenyewe mkidhani hakuna siku zinaweza kuwageukia.

Yohana Mbatizaji, tunakuomba na huyu umbatize haraka iwezekanavyo.
 
Imekuwaje kwani?
Soma hiyo

IMG-20190429-WA0044.jpg
 
Kumbe ndio maana Nssf haina uwezo wa kulipa madai halali ya wanachama sasa wamebuni njia ya kuwadanganya tu mara mtandao mara faili lilikuwa halionekani, sasa mimi nauliza hivi hizi taasisi zikiwa zinatudai sisi ni kwa nini mafaili huwa hayapotei?
Wewe unaweza kupoteza kumbukumbu za unayemdai!!!???
 
Ni kawaida sana mtenda akitendewa uona kama anaonewa mwache sasa nayeye aonjeshwe shubiri
January acha kulalamika kwani ni mzee wako ambae alimsifia bwana mkubwa hadharani kuwa atabatiza watu kwa moto huku nyie katika chama chenu mkishangilia mkidhani hayatawakuta mkasahau kuwa kuna siku itakuwa zamu yenu na ndio maana mmechagua kukaa kimya wenzenu wanapotendewa uovu mkiamini kuwa mko salama kumbe mnajidanganya.

Mimi naomba tu na wewe ukabatize kwa moto tena moto mkali zaidi ili maono ya mzee wako yatimie labda na yeye atafurahia kuona aliyoyasema yanatimia hata kwa mwanae na ikiwezekana wakuburuze kwa Pilato tena bila kupewa dhamana maanan hizi sheria zinazonyima watu dhamana mlizitunga wenyewe mkidhani hakuna siku zinaweza kuwageukia.

Yohana Mbatizaji, tunakuomba na huyu umbatize haraka iwezekanavyo.
 
Ujue hata kikokotoo kilianzishwa makusudi ili kulinda maovu yao yasijulikane mapema
Kumbe ndio maana Nssf haina uwezo wa kulipa madai halali ya wanachama sasa wamebuni njia ya kuwadanganya tu mara mtandao mara faili lilikuwa halionekani, sasa mimi nauliza hivi hizi taasisi zikiwa zinatudai sisi ni kwa nini mafaili huwa hayapotei?
 
Wizi ni wizi tu
Aiseee. Ya kweli haya au ndiyo safari za mwaka 2020 zimeanza? Enzi zetu pendwa tuhuma kama hizi zilithibitishwa na vielelezo. Je kuna document yeyote ya kuthibitisha hizo billion moja kutoka NSSF? Tuhuma bila uthibitisho ni UONGO tu.
 
Back
Top Bottom