He he he,
HC kantumia dola 500
na hii 200 yako
ntakuwa poa kwa mwezi mzima
Wewe usitake niharibu thread ya mkuu....!
Hashy nilimuomba hela akasema atakupa uniletee, we umedhani za kwako?
Akupe una nini sasa Kongosho,mbona mchokozi??
kwa muungwana anirushie basi hata dola 200 kwa M-pesa.
si ulinifundisha 'sharing is caring'
alisema ni yangu, mie shemejie
Brother from same mother 🙂
January yangu safi sana, niliweka pesa kuanzia September 2011, fika december nikaenda zangu leave, nika furahia sales na sikuharibu bajeti yangu kabisa! Alafu isitoshe kuna mtu wangu wa karibu alinizawadia hela...
Mtu wa karibu au ndio anaekula huo mtende? kuna hela ya zawadi siku hizi?January yangu safi sana, niliweka pesa kuanzia September 2011, fika december nikaenda zangu leave, nika furahia sales na sikuharibu bajeti yangu kabisa! Alafu isitoshe kuna mtu wangu wa karibu alinizawadia hela...
Ndio hiyo hiyo lost twin from the maternity... 😛oaThat's my girl...unaongelea ile zawadi twin wako nilikutumia?? lol
Ni ndugu yangu. Mi sipokei zawadi hovyo hovyo...Mtu wa karibu au ndio anaekula huo mtende? kuna hela ya zawadi siku hizi?
Yaani mie sina hata hela ya kula kabisa.
Nimechoka kinoma.
Ndugu wenyewe ni hawa hawa binamu kinyama cha hamu?Ndio hiyo hiyo lost twin from the maternity... 😛oa
Naona kuna kitu unacho kitafuta wewe...Ndugu wenyewe ni hawa hawa binamu kinyama cha hamu?
Naona kuna kitu unacho kitafuta wewe...
Ndugu wenyewe ni hawa hawa binamu kinyama cha hamu?
Mtu wa karibu au ndio anaekula huo mtende? kuna hela ya zawadi siku hizi?