January anajinadi kama mwana mageuzi, mwenye mawazo chanya. Ubunge aliupata kwa utata, na hata kwenye ubunge ameshindwa kazi, kwani bumbuli ndio moja ya Majimbo yaliyo nyuma sana kimaendeleo. Je, january anawezaje kujinadi kama Rais mtarajiwa wakati jimbo limemshinda?