January Makamba: Tunahitaji kuongozwa kidikteta?

January Makamba: Tunahitaji kuongozwa kidikteta?

kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.

"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook:
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kuwa Jmakamba anampiga vijembe nani hapo.
mimi sijaelewa hivo
 
Kwa hapa tulipofikia na hali tuliyonayo, ni kweli tunahitaji kuongozwaa na Dikteta ambaye atafuta vyama vya kisiasa na mambo ya kisiasa kwa muda fulani ili kurekebisha mambo. Jibu langu kwa swali hilo ni NDIYO!
 
Ni wachache sana watakaomuelewa January!

Naamini muda mfupi ujao, tutamuelewa Makamba
 
kaandika hivi leo kwny fcbk wall yake.

"Matukio yanayotekea hivi leo bungeni yananikumbusha makala yangu niliyoiandika mwaka 2008, Je kwa hali hii tunahitaji uongozi wa kidikteta?"
my outlook:
Haihitaji elimu ya chuo kikuu kubaini kuwa Jmakamba anampiga vijembe nani hapo.

Watch out people's power... Umeona Jinsi Uncle Mubarak anavyoteseka? aliongoza kidikteta sasa yanamtokea puani

Hawezi kupumua, Sasa kama unataka people's power imwangukie January Makamba, Mzee wake, Pres Kikwete

Na Riz1 unajua itakuwa mbaya - Mapinduzi sio Mazuri, hela zote zinachukuliwa na hayo Magari, saa za mkononi na

Majumba ya kifahari
 
Back
Top Bottom