January Makamba Top The List of Most Interactive Politician in Tanzania!

Kuna busara ya kutulia na kuangalia vitu vingine vikija na kwenda zake kama hatupo. Clouds? mhhh!!
 
Kama ni Clouds sioni cha ajabu hapo.
Halafu Great Thinkers tujifunze kuchuja hata channel tunazoangalia.
 

Mkuu kwani hujui kuwa waliotoa hayo ni TV CCM
 
Huyu naye anatuzingua hapa,au labda mimi ndo sielewi,hivi huyo kwenye nafasi ya 8 ni mwanasiasa?au lugha ndo imenichenga hapo juu:israel:
 
Huyu naye anatuzingua hapa,au labda mimi ndo sielewi,hivi huyo kwenye nafasi ya 8 ni mwanasiasa?au lugha ndo imenichenga hapo juu:israel:
 
Mimi naona Zitto Alistahili namba moja, Shyrose alitakiwa awe juujuu, ila Halima, si kivile yuko twitter sana tena ameingia recently. Anyway sijui wamepima kwa kutumia nini wao wanajua.
 




Ana Msc in international relations au some related studies
January Makamba ? CSB/SJU

umaarufu si wanasiasa wote wanautafuta? kazi ya siasa ni kuongeza nguvu ili mwisho wa siku uwe kiongozi mkuu wa kisiasa..ni sawa kwa watu wote uwe banker, accountatnt, engineer unataka kufika juu kabisa wa kazi yako na uchangie zaidi mawazo yako katika jamii..
 
@ Dallai lama "Makamba ni janga..ana tamaa mno"

Sure He is another tragedy......baba yake kaiua CCM huko then mwanae nae aje aiuwe Tanzania...kazi kweli kweli hv hata aibu huwa hawana??/
 
na wapambe anao tayari, du!!
 
J ni mnafiki sana huyu mtu! Tatizo ni kwa huyu jk ndio kafanya urais huonekane kama kupanda dalala vile. Yani huyu aliyeweka project za bumbuli dar, ndio awe rais? Mnafiki sana huyu mtu pamoja na hiyo radio yake na lazima campaign manager wake hawe kibonde.
 
Ridiwan nakubaliana na wewe Pasco ni Watu kujikomba. Maana hata yetu ya kiswahili hajui, tofauti ya matumizi ya maneno hajui, sijui ni lawyer Gani huyu! Maana najua lawyers ni wazuri sana kwenye lugha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…