January Makamba,Ponder deep over your fate

Nchi imekabidhiwa kwa washamba wawili. Wanaweza kufanya lolote na kwa mtu yeyote. Jamaa afanye kujiondokea mapema kabla hawajamzushia mengine.
 
Long time ago...siku ya hukumu ya Lena kule Arusha alipovuliwa ubunge...asubuhi na mapema January alishafahamu na akampa Lema pole... so yeye huwa na taarifa zote mapema...kumbuka hata uchaguzi yasemekana ushindi wa ccm aliupioneer akiwa mawasiliano
 
I would have resigned,. Only by being suspended,
 
Is pleaded guilty to one count of assault in exchange for the dismissal of other kidnapping and assault charges.
 
kazi kweli kweli .. JIWE limelewa SIFA
 
Kuna picha moja Makamba alipiga na Maria Tseshai masaa machache kabla ya Mo kupatikana.

Wacha tuendelee subiri.

Maana yajayo....hayaf....
 
ufafanuzi umeshatolewa

majungu na udaku wenu pelekeni ufipa huko
 
Hahahahhaaaa..

Kama mkuu alikasirika sana,angempigia simu akamkanya au hata amuone ofisini na vibao ampige...Wakayamaliza kibingwa!

Ila hii ya polisi,kuna something else!

Hii dunia bwana.....
 
Do you think were police right to grill him? This is ridiculous?
Umesoma January alichoandika kwenye twitter?! Kukusadia ameandika hivi, “Polisi walinipigia simu kuniomba, kama rafiki wa @Moodewji, niwasaidie kama kuna chochote cha ziada ambacho Mo aliniambia kinachoweza kusaidia uchunguzi”. Na hii ilikuwa sio kugrill
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…