My Take
Sina shaka na mualiko ila Sasa Nina wasiwasi na tabia za Papa kuhusu masuala ya 🌈
View: https://www.instagram.com/p/C2XF0DDNYey/?igsh=dDgzcm5kOGh6Z3Bw

Hujui system ya dunia inavyoendeshwa,kila Rais anatakiwa aonane na papa au mwakilishi wa papa/katoliki , Papa ndiye raisi wa Duniahapo kwenye neno kaalikwa tunazugwa tu, ila kwa tunaojua nguvu kubwa ya kanisa katoliki na ushawishi wake mkubwa wa kiimani na kuwa na waumini wengi hapo rais samia kaitwa upesi na papa kutokana mauzauza ya uongozi na hali mbaya ya ustawi / maisha ya watanzania kwa sasa na kubwa suala la dp world ambolo strategically kwa uwepo wao hapa tanzania ni hatari kwa maslahi mapana ya kanisa katoliki na shughuli zake
🚮🚮Hujui system ya dunia inavyoendeshwa,kila Rais anatakiwa aonane na papa au mwakilishi wa papa/katoliki , Papa ndiye raisi wa Dunia
sijui mimi au wewe? idiotHujui system ya dunia inavyoendeshwa,kila Rais anatakiwa aonane na papa au mwakilishi wa papa/katoliki , Papa ndiye raisi wa Dunia
Wewe mkuu umeiona hio barua ya mualiko?Papa naona uzee umeanza kumsumbua ameanza kualika tu hata hajui ana mwalika na nani?
Hapa Nyikani ni Taifa la AGANO.
Waziri wa mambo ya nje katangaza maanake ipoWewe mkuu umeiona hio barua ya mualiko?
My Take
Sina shaka na mualiko ila Sasa Nina wasiwasi na tabia za Papa kuhusu masuala ya 🌈
View: https://www.instagram.com/p/C2XF0DDNYey/?igsh=dDgzcm5kOGh6Z3Bw
Kwani hawez kudanganya? Kama tulidanganywq mtu anachapa kazi kumbe alishakufa sioni jipya kwa hiki chama cha matapeliWaziri wa mambo ya nje katangaza maanake ipo
Ni hatari snKwani hawez kudanganya? Kama tulidanganywq mtu anachapa kazi kumbe alishakufa sioni jipya kwa hiki chama cha matapeli
Watuonyeshe tamko au barua ya mualiko