January Makamba, Nape Nnauye, kulikoni?

January Makamba, Nape Nnauye, kulikoni?

Anguko la vijana hawa limenifurahisha sana maana walikuwa wanajiona wao ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo wao.
Wakipewa urais hawa watakuwa worse than huyu aliyepo.... am not exaggerating. Mimi ni CCM (ile ya Mwalimu) so nawajua nje ndani!
Kuna harufu ya ukweli kwenye maelezo yako
 
Mtu pekee atakaye mpa changamoto J. Makamba 2025 ni H.A Mwinyi ila nje ya hapo 2025 ni J. Makamba
 
Mtu pekee atakaye mpa changamoto J. Makamba 2025 ni H.A Mwinyi ila nje ya hapo 2025 ni J. Makamba
Unafahamu rais hutoka katika baraza la mawaziri?,labda baada ya mwinyi kuwa rais kisha kumuingiza kwenye baraza la mawaziri 2035
 
Unafahamu rais hutoka katika baraza la mawaziri?,labda baada ya mwinyi kuwa rais kisha kumuingiza kwenye baraza la mawaziri 2035
Kifungu namba ngapi cha katiba una ki refer Mkuu?
 
Kule kibosho mwanamke akimtawala mwanaume huwa tunasema kuwa mwanaume amekaliwa na mwanamke.January na Nape wamekaliwa na Magufuli!
 
January hataki tena siasa, nadhani kapata kazi ya kimataifa njee ya nchi.
 
Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.

Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.

Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.

Kila la kheri kwenu
Huyu amewazidi kete


 
January hataki tena siasa, nadhani kapata kazi ya kimataifa njee ya nchi.
Hakuna post tamu duniani kama Mkuu wa nchi hasa ukiwa mpenda bata,pengine kaamua akajipangie nje kwanza ,naamini ndoto yake upresidaa wa TZ kisha kimataifa
 
Wanakula matunda ya bao la mkono na kazi kubwa aliyoifanya January Makamba Masaki oktoba 2015 .
 
Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.

Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.

Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.

Kila la kheri kwenu
Wameminywa Makoromeo
 
January ndoto yake yote jamaa kaizima rasmi!! Tena washukuru kupewa hata huo ubunge....
 
Ilikuwepo ya Waziri wa Foreign Affairs ikaangukia ujenzi wakati husika ndio utaamua usione watu wamekaa kimya subiria kipyenga kipulizwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom