Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,986
- 189,587
Siasa mchezo mchafu
Maisha yanakwenda kasi sana January Makamba & Nape Mnauye siku hizi wanauliza maswali wanajibiwa na Silinde.
Kwa hiyo hao waliotajwa wanatokea Zanzibar?UVCCM mwisho miaka 35 ila ukitokea Zanzibar ni 45 kama akina Kibabu Sadifa!
Mnashindwa kuelewa nini sasa hapo???JM ni Designated survivor halafu nape ni waziri mkuu ajae!!!!
Na hii miaka mitano wasipikuwa kwenye Public Limelight ndio basi tena!!! wanasahaulika.....Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.
Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.
Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.
Kila la kheri kwenu
Wapi, sema tu wewe bado hujaipatapata. Magufuli juzi alimwambia Ndugai au Palamagamba kwamba hawezi kumwachia (urais) mtu mzee kuliko yeye, na kumbuka aliwaonya Wazanzibari wasimalazimishe kusema shikamoo, wakamuheshimu. Hawa wawili ni matunda ya Chama cha Mapinduzi, crown princes, ndiyo future yetu. Hawana sababu ya kufanya mikimikiki. They are bidding their time.Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.
Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.
Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.
Kila la kheri kwenu
😆😆😆😆 Naona Babu tale kafunika bungeni jana !Hao ni wazee sasa!
Pamoja na Kigwangalla na yule Mwigullu.
Hii ni zamu ya akina Shigongo MwanaFA na Babu Tale!
Alikuwa yuko well connected kwenye system iliyopo yule......Hussein Mwinyi ali vibrate lini ?
Hakuna lolote ! ccm wakikutaka uwe Rais wanakuteua tu , Magufuli aliwahi kuwa connected wapi , mbona aliteuliwa kugombea Urais ?Alikuwa yuko well connected kwenye system iliyopo yule......
matunda yake nadhani umeyaona
Usisahau kwamba alikuwa waziri kwa miaka 20 mfululizoHakuna lolote ! ccm wakikutaka uwe Rais wanakuteua tu , Magufuli aliwahi kuwa connected wapi , mbona aliteuliwa kugombea Urais ?
Hicho hakijawahi kuwa kigezoUsisahau kwamba alikuwa waziri kwa miaka 20 mfululizo
Basi kwa taarifa yako fisiemu hawachagui mtu kwenye uongozi kama hawakujui na hasa kama huna swagg kwa wakati huo...Hicho hakijawahi kuwa kigezo
Anguko la vijana hawa limenifurahisha sana maana walikuwa wanajiona wao ndiyo Tanzania na Tanzania ndiyo wao.Mmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.
Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.
Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.
Kila la kheri kwenu
Huenda zama zao zimekomaMmepatwa na nini? Mbona kimya sana? Hakika kuna mambo hayako sawa upande wenu hasa awamu hii ya tano.
Ubatizo huu si mchezo, ni kudra za mungu tu zinazoweza fufua matumaini yenu.
Madhari mngali vijana lolote mbeleni penye uhai laweza tokea.
Kila la kheri kwenu
Wa nchi gani?Mnashindwa kuelewa nini sasa hapo???JM ni Designated survivor halafu nape ni waziri mkuu ajae!!!!
Jamaa ni kichaa,anafikiri bado kuna mambo ya kishkajiWa nchi gani?