January Makamba kujiajiri?

January Makamba kujiajiri?

Hivi nyie vijana huwa mnawachukuliaje wanasiasa? Mtu kama January Makamba unamuwazia ataishije baada ya kutemwa, serious?
Pesa IPO na mirija ya pesa IPO mikubwa.

Njaa za huyo siyo za kukosa kazi Bali ni kujipanua kisiasa tu.
 
Kwa asili ya watu wa Tanga unaweza kukuta ana wake wengi tu
 
Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
Je JM hana biashara?

Kama alikuwa na uwezo wa kuinunua Bahari beach hotel kwa bilioni 25, unadhani hana biashara lukuki ndani na nje ya nchi?
Ktk familia za wanasiasa zenye utajiri wa kufa mtu Tz Ile ya Makamba na ya Kikwete stoshangaa, kumuoa CEO wa Simba tena sijui mhindi sijui mwarabu mchenzo?

Ana ndugu yake wa kike sijui anaitwa Mwavita unadhani zile biashara za kwake zote?
Na Ccm huwa mna propaganda nyingi,
Swala la Januari ni propaganda tu, 2026 huenda mkampatia ukatibu mkuu
 
Hana biashara?
Kama alikuwa na uwezo wa kuinunua Bahari beach hotel kwa bilioni 25, unadhani hana biashara lukuki ndani na nje ya nchi?
Na Ccm huwa mna propaganda nyingi,
Swala la Januari ni propaganda tu, 2026 huenda mkampatia ukatibu mkuu
Point ☝️
 
Biashara yake ndo hiyo ubunge na kuiba serikalini

Ngoja uje uone atakavyochoka
 
Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
Kuna rushwa alituhumiwa kutembeza wakati akiwa waziri wa nishati, kwa wabunge na wenzake akina maharange,
Ripoti ya CAG ilipotoka baada ya muda wali left left watu wa ofisi ya CAG kadhaa,
Chawa mkuu wa Ccm kule mtandao wa X zamani Twitter akimtuhumu Jm
 
Hivi nyie vijana huwa mnawachukuliaje wanasiasa? Mtu kama January Makamba unamuwazia ataishije baada ya kutemwa, serious?
Pesa IPO na mirija ya pesa IPO mikubwa.

Njaa za huyo siyo za kukosa kazi Bali ni kujipanua kisiasa tu.
Inategemea aliwekeza wapi na kwa kiwango gani?

Kigwangala alieleza kilichotokea kiuchumi na kijamii baada ya kutemwa uwaziri na hapo ni mbunge bado!!

Ukiondolewa kwenye mfumo wanajua una bifu na mfumo hivyo walioko ndani wanaanza kukuweka mbali na ndiyo hao mirija yako ilipo!
 
Naweka tu huu uzi hapa

Hivi nyie vijana huwa mnawachukuliaje wanasiasa? Mtu kama January Makamba unamuwazia ataishije baada ya kutemwa, serious?
Pesa IPO na mirija ya pesa IPO mikubwa.

Njaa za huyo siyo za kukosa kazi Bali ni kujipanua kisiasa tu.
Mtu Oktoba tunatiki Hana analojua wapowapo tu
 
Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
Hujaona video anaingia ofisini waandishi wa habari wanamzonga, anawaambia wamejuaje sehemu hii anayotafutia riziki?
 
A; Babu Babu, January Makamba jina lake limekatwa kwenye mbio za Ubunge,
Je Rais Samia na Kikwete wanamchukia au wana matumizi naye kwa mipango mingine?

B; Mjukuu wangu baada ya jina lake kukatwa Januari Makamba kwenye maelezo yake ya kwanza kwa waandishi wa habari na umma je alikuwa katika hali ya hasira, huzuni, masikitiko au alikuwa Normal?

A; Babu mimi sijasoma sina hata elimu ya Saikolojia, ila kwa haraka haraka alikuwa ktk hali ya kawaida licha ya kutengenezea movie ya kwamba waandishi wamemvamia kumhoji bila kuwaita na kujidai kupandisha ngazi za ghorofa kwa miguu kisha kutengeneza presh ya kupumua

B; sawa mjukuu wangu, kama alifanya press akiwa ktk hali ya kawaida, nyuma ya pazia ni Kikwete amemweka kuwa karata yake ya pembeni plan B, kama ikitokea la kutokea Januari awe mgombea wa kiti cha urais,

Plan A ikifaulu basi Januari atapewa cheo kikubwa kikubwa serikali au Chamani.

Mjukuu wangu kitu ambacho kitafanya uamini kuwa Kikwete na Samia wana kazi naye ni pale atakavyoshiriki kampeni za uchanguzi mkuu kwa ukamilifu kumnadi mgombe wa ccm iwapo atakuwa huyu wa sasa........
 
Back
Top Bottom