juu kwa juu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 260
- 48
Mkuu naona umekosa kabisa hoja yenye mashiko ya kumchafua January na kurukia mambo ya Barrick ambayo yalikanushwa kuanzia Canada mpaka kwenye Kampuni yenyewe kule Geita. Kwa hiyo hoja ya Barrick ni muendelezo wa majungu ya vijiweni amabayo haiwezi kutusaidia katika ustawi wa taifa letu. Pili uwaziri ni dhamana, ateuliwe ama asiteuliwe sio hoja, hoja ni kupata timu yenye uwezo wa kumsaidia rais katika ustawi wa nchi yetu.kiujumla kijana hafai kuwa waziri ,kwa kumwangalia tu, anaonekna ni fisadi mamilioni aliochukua kule barriki ameshindwa kueleza umma, pia ameshindwa kumshauri rais katika mika aliokaa ikulu kama mwandishi na mshauri wa hotuba. So kwa upande wa uwaziri baaado sana, hana focus ,hqana cv ya kumfanya awe kiongozi wa kitaifa zaidi y aubunge wa kupewa na babaye. Kwa kwli asingekuwa babaye ubunge angeusikia kwenye radio tu. Kwa hiyo kweli akichaguliwa waziri itakuwa afadhali baraza hili. Naomba sana chone mnaomshauri mkuu pale magogoni mmshauri asije akampa cheo huyu kibaraka wa mafisadi. A boy is so ambitious , very power monger and rud. Samahani kw languege lakini ni hasira za kutomtakahuyu kijana, kwa vile hana uwezo zaidi ya kuwa penda tu vyeo. Naungana na wasamariana wapenda nchi kuwa asipewe wapwew wengine wenye uwezo mbona wapo , wapo wengi tu. Ahnsante
huyu mkuu alikuwa na imani 100% kuwa atakuwepo lakini katoswa na kupigwa chini,inasemekana amefananishwa mambo yake na naibu waziri wa Nishati na madini!!taarifa kutoka jikoni
kiujumla kijana hafai kuwa waziri ,kwa kumwangalia tu, anaonekna ni fisadi mamilioni aliochukua kule barriki ameshindwa kueleza umma, pia ameshindwa kumshauri rais katika mika aliokaa ikulu kama mwandishi na mshauri wa hotuba. So kwa upande wa uwaziri baaado sana, hana focus ,hqana cv ya kumfanya awe kiongozi wa kitaifa zaidi y aubunge wa kupewa na babaye. Kwa kwli asingekuwa babaye ubunge angeusikia kwenye radio tu. Kwa hiyo kweli akichaguliwa waziri itakuwa afadhali baraza hili. Naomba sana chone mnaomshauri mkuu pale magogoni mmshauri asije akampa cheo huyu kibaraka wa mafisadi. A boy is so ambitious , very power monger and rud. Samahani kw languege lakini ni hasira za kutomtakahuyu kijana, kwa vile hana uwezo zaidi ya kuwa penda tu vyeo. Naungana na wasamariana wapenda nchi kuwa asipewe wapwew wengine wenye uwezo mbona wapo , wapo wengi tu. Ahnsante
DONT SPECULATE!!!! what if akiwa miongoni mwa wataochaguliwa??i think we should wait and see..ingawa MAGAMBA HAWA AMINIKI KABISA....
Mkuu naona umekosa kabisa hoja yenye mashiko ya kumchafua January na kurukia mambo ya Barrick ambayo yalikanushwa kuanzia Canada mpaka kwenye Kampuni yenyewe kule Geita. Kwa hiyo hoja ya Barrick ni muendelezo wa majungu ya vijiweni amabayo haiwezi kutusaidia katika ustawi wa taifa letu. Pili uwaziri ni dhamana, ateuliwe ama asiteuliwe sio hoja, hoja ni kupata timu yenye uwezo wa kumsaidia rais katika ustawi wa nchi yetu.
Mkuu ungekuwa muungwana kidogo basi ukaanza na TETESI. Inaweza ikawa kweli lakini kama haijathibitishwa inabaki kuwa tetesi na uthibitisho wenyewe ni tangazo la Rais manake haya mambo unaweza sasa hivi ukawemo lakini wakati wa kutangaza ukawa nje and the opposite is also true.
huyu mkuu alikuwa na imani 100% kuwa atakuwepo lakini katoswa na kupigwa chini,inasemekana amefananishwa mambo yake na naibu waziri wa nishati na madini!!taarifa kutoka jikoni
Naomba niwakumbushe ndani ya ccm kuna makundi mawili;
1.wanaonyonya nchi hii (mafisadi) hapa yumo lowasa,january makamba,makongoro mahanga,peter serukamba,rostam azizi n.k
2. Ni kundi la waadilifu (wapinga ufisadi) akiwemo mwakyembe,samuel sitta,james lembeli,lucas selelii,anna kilango,aloyce kimaro,benad membe, n.k
kwa maana hiyo kikwete hawezi kuteua waumini wa lowasa kuwa mawaziri,hiyo sahau kabisa.
Jamaa ni ana uwezo wa uongozi sijawahi ona, hata kama atatoswa sasa hivi, lakini jamaa atakuwa msaada sana huko mbele.
.
"Ama kweli CHADEMA NI SAWA NA NG'OMBE ASIYE NA BEI SOKONI".
.
"WASIOSOMA NI CHAKULA CHA WASOMI".