January Makamba and CCM finally admit failure

I think you have been waiting for the so called "promised land" for over 2,000 years now. Think.

I will only think the way you want if you excatly know what is the meaning of ''Promissed Land'' in both sides of the coin. Nevertheless so you want us to wait for 2,000yrs till we get to the promised land under the present rulling party?
 
I think you have been waiting for the so called "promised land" for over 2,000 years now. Think.

And your Fastjet Kikwete, he failed take you to the promise land?

Niwekee Chai ya Rangi na Vitumbua 3 napita hapo
 
Pale Lindi analalamika mgao wa chanzo ni mafisadi akitaka tumuamini kuwa mafisadi wapo ukawa aelewe tunafahamu kuwa ufisadi upo ndani ya serikali ambayo yeye yumo kwa miaka 20 sasa.
 
Mkuu umenena wala hujabakisha.
 
Usizungumze kwa maono yako zungumza kwa kuzingatia, taratibu na kanuni za uendeshaji wa shuhuli za kiserikali, kama hakuna haja ya kuunda majopo au kamati za kushuhulikia sekta hizo, kuna haja gani ya kuwa na viongozi
 
Lowassa and all his manifestations should be brought to an end immediately, If CCM is a failure then Lowassa is also a failure!
 
Zama za ushawishi wa Mzee Mwanakijiji hapa JF zimepita, yeye hana credibility yoyote hapa JF sasa hivi labda kwa mashabiki wa ccm na kile kibabu anachokipotosha hawara wa Josephine.

That's the real truth.
mwanakijiji alikuwa safi sana hapo nyuma sijui nini kimempata daah!

Au labda amekumbwa na ule ugonjwa wa MPD yaani "Multiple personality disorders " hahahahah his alter egoes has awaken here in a damn hard time.


Najaribu kufikiri tu.
 
Last edited by a moderator:

This is interesting. Who are the Wananchi?Mind you , those who support and love CCM are also wananchi and they are in millions. Those who support magufuli are also wananchi. and they are also in millions. They include wasomi,youths, women, men, elders, intellectuals,wakulima, wafanyakazi, etc. Sasa, unapozungmza wananchi you have to be objective...otherwise....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…