January Makamba ajihami kupitia

siamini kabsaa kama kuna wasomi katika nchii hii wananunuliwa na watu wasiowasafi ili wawatetee humu ndani! INASHANGAZA SANA msomj na akili zake timamu anafikiri kuwa raisi anatumbua majipu pasipokuwa na ushahidi ulijitosheleza. Sisi tusipomsaidia rais kuibua maovu unafkir nini kitatokea? Serikali wa awamu ya nne ilidharau sana maoni ya wananchi na vyombo vya habari ljn jpm amekili waziwazi kuyafanyia kazi naoni mbalimbali ili kutimiza malengo yake! Hakuna chuki wala uhasama huo ndio ukweli na ni mchungu/mwiba mkali kwa waliozoea kuona maoni ya wananchi au media hayafanyiwi kazi.
 
Tuache ukando kando tusimamie ukweli sakata la January halihusiani kabisa huyu ni mtu msafi Sana tatizo ni chuki binafsi za watanzania
 
jaman mbona thread ya mrejeshoo wa kinachoendelea kulee mitaa ya .... walituambia SAA 8 kamili sasa hivi ni saa Tisa na dakika. 25 na thread mbona haifungukiiii
 
Muheshimiwa Raisi wetu Mpendwa JP Magufuli ,Tumbua tu raisi wetu,tuko nyuma yako na watanzania wengi wanafurahi utumbuaji,kwa wote walioishatumbuliwa todate hakuna hata mmoja alieonewa.Nchi ilikuwa imeoza kabisa,ukitaka kujua support uliyonayo,nimeangalia dondoo za siku 100 za Magufuli kipindi ambacho ITV watarusha wiki hii,kwa kweli watu wanakukubali sana na wana imani kubwa na wewe,kuna biblical say moja kuwa DONT BE BIASED BECAUSE THEY CRY,sisi tunasema let them cry.,mtumbue tu hata huyo,usimuangalie usoni utakaja muhurumia.
 
Mungu amuongoze amin
 
nchi hii sijui maadili yamekwenda wapi zamani ilikuwa aibu kumtetea mtu anayekumbwa na kashifa kama za rushwa,wizi wa mali za umma na makosa mengine kama ujambazi na ulawiti ila siku hizi watu bila aibu wamekuwa wakijitokeza kimbelembele kuwasifia na kuwakausha mbaya zaidi wamekuwa wakitumia vyombo vya habari na pia kuwanunua wahariri na wamiliki wa vyombo hivyo
 

Hawana lolote ni majidai tu. Mtu anajidia ana akili sana lakini hathubutu hata kuanzisha mradi tuone ubunifu wake. Akikosa ajira serekalini anashinda kwa waganga wa kienyeji. Hii kitu umeongea itakuwa imewaumiza wengi hasa wapambe kwani umemgusa boss wao sehemu mbaya. Mimi nikipata milioni mia moja tu huwezi kuniona najaza nafasi serekalini
 
***
DHAMIRA YA HUU UZI IMEFAHAMIKA VEMA,IN FACT NIWAKUPUUZA NA KUUTUPA MBALI /
KAMA WEWE NI MSAFI NI MSAFI TU,NA KAMA NI MCHAFU NI MCHAFU TU.
KILA PALIPOTUMBULIWA PALIKUWA NA DOSARI ILIYO WAZI.
 

Umohojoka kweli kweli kwa sababu ya kumtetea Makamba na Uchafu wa dada yake, Mzungu mwenyewe ashapewa chake, makamba kakiri kumjua, kakiri kupokea hela kupitia dada yake aliyepewa na mzungu, mzungu mwenyewe inadaiwa makamba anamjua kuwa anabwia unga, alimwona wapi anabwia? au Dubai, hata hivyo Mange ni kama unamuandaa kutoa ushahidi wa kiti hiki maana ana kila aina ya ushahidi, amejitolea kutoa ushirikiano na takukuru, haya sasa takukuru waanze kazi kama makamba hatanyea kambi? bora unyamaze tu watu wanajua mengi juu ya utapeli wa mwanadada huyu na kaka mtu. Haya sasa watetezi mshakuwa wengi mtuharibie serikali yetu tukufu, serikali ile ya kishikaji, ya kubebana ishaoondoka, wewe umeungana na Yule wa ACT kutetea ujinga, acha ujinga bwana acha watu wamwage ukweli.
 
Mke wa Kaizari hapaswi kutuhumiwa,tuhumu inatosha mke wa Kaizari (Kufutwa kazi) kuachwa.
 
Naona jamaa wameunda tem zakuja kumtetea mtuhumiwa kama anasingiziwa kwanini. Hakwenda. Mahakamani kumshitaki muitaliano
 

Kwa taarifa yako wasomi ndio wanaofanya hii kazi ya kutetea wahuni hapa jukwaani. Kumbuka wasomi wengi hawana ajira, na wengine wana matarajio makubwa kuliko uhalisia. Unatarajia nini msomi aliyepigika kimaisha akipewa dau la laki tano, anaweza akakesha hapa jukwaani tena wakati mwingine hata huyo aliyemuajiri inabidi amuombe akapumzike. Hii njaa iliyopo kwenye hii nchi hao watoto wa viongozi wanajua kuitumia vyema kulinda maslahi yao.

Ww hushangai mtoto mzazi wake kawa kiongoz, yeye kawa kiongozi lakini hathubutu kwenda kuanzisha shughuli yake binafsi na kuachia wengine nafasi watumikie taifa, kisa huko ndiko anakoweza kupata pesa kuilaini na kufanya apendacho, lakini ukiangalia rekodi yake ya utendaji mafanikio makubwa aliyonayo ni kuendekeza hila na kujisifia mambo yasiyo na tija kwa mwananchi wa kawaida.
 
huyu jamaa kuku kweli sa yeye amejuaje yanayongelewa juu ya bwana february marope ni ya kutunga?amejuaje huyu? au jipu linamtekenya!!!
 
Ulikuwa kijiwe gani wewe Mwandemele? Cruz-In? Acha undumilakuwili wako tumeishaku'note' usidhani watanzania ni wapumbavu kiasi unachowadhania. Na kama umesikia maelezo ya mtaliano sijui kama una la kusema kumhusu huyo Makamba.

Na kama unajua Magufuli uliyempa kura yako ni mtu wa haki una wasi wasi gani sasa si muache atende haki? na wakati huo huk na wewe uache ujanja wa kutumika humu JF.
Kwa taarifa yako humu JF vijana wa Magufuli wako kibao wamebana kila kona ya wachangiaji na watoa mada kwa hiyo mzee JPM anahabarishwa kila kinachoendelea na kwa kila dakika. Na hizi habari za Makamba anazo kibao zimeishajaza makablasha. Moja la barua, jingine la CD, moja la flash na hata la radio casseti na kuna la picha za video na mnato za Team January Makamba, kwa hiyo huu waraka wako ni wa marudio kwake labda watausoma wakata nyasi na wafagiaji wa uga wa ikulu na kuishia huko huko.
 
mpe za uso huyu dogojanja wa kwa mfuga mbw.a
 
nimekuelewana sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…