Nyani Ngabu,Kelly01,Mwanafalsafa1,
..mbona hakuna picha wala video clip kuonyesha kwamba January alikuwepo White House na ktk ujumbe wa Kikwete?
..huyu dogo Makamba akili anazo, lakini hili la kumzidi Kikwete,Membe,Itatiro,Sefue,Salva, ktk kupata attention ya Obama, naona kama anasingiziwa tu.