January Fc

January Fc

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2018
Posts
21,708
Reaction score
35,719
Ukichomoka salama umejipanga aisee[emoji23][emoji23]
IMG-20181221-WA0004.jpeg
 
Eeeh!naona coach ameamua kufanya ile kitu tunaita obstruction kitaalamu na hii Jesse ni mbinu ya kumdhibiti opponent wako asilete madhara makubwa golini so hawa jamaa wajipange kwa pasi fupi za haraka haraka ili kuipenya back line ya january fc na kupiga outer caving pass ili foward wa hii kuungaunga fc waweze kuchomoza na ushindi.Kwako Jese
Mwalimu kashasha nini maoni yako baada ya kukiona kikosi cha january fc.
 
Eeeh!naona coach ameamua kufanya ile kitu tunaita obstruction kitaalamu na hii Jesse ni mbinu ya kumdhibiti opponent wako asilete madhara makubwa golini so hawa jamaa wajipange kwa pasi fupi za haraka haraka ili kuipenya back line ya january fc na kupiga outer caving pass ili foward wa hii kuungaunga fc waweze kuchomoza na ushindi.Kwako Jese
Asante mwalimu kashasha kwa uchambuzi maridhawa kabisa. Eeeeh...pambano hili linadhaminiwa rungu max gudi gudi, wembe bora kabisa wa kunyolea nywele sehemu zote bila kuacha vipele...
😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom