Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,308
- 289,271
Mbona bado sijaona wapi ame-out-source shughuli za wizara yake?Didn't i understand?
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,
nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,

Mkuu, mbinu za kupata urais jk alizotumia miaka ile ndo hawa wa sasa wanazitumia. Hawajui kuwa wabongo wa sasa wamebadilika. Hadanganyiki mtu hapaNgoja wamlie hela,anazo za mchezo.
Urais hawezi kupata hata kwa fedha nyingi kiasi gani,maana watanzania wameelimika.
EL ni Yohana Mbatizaji tuu!.halafu kanaiga na kugandamizia njia na mikakati ya Lowasa. Ngoja Pasco akabaini.
uwezi kuzima nyota inayong'ara kwamwe. Hata ukienda kwa mgamga watakuambia kuna nyota uwezi kuzizima, juzi nilikuwa nasikiliza radio safina hapa arusha, kuna mganga mmoja aliokoka anaitwa omari(alikuwa maarufu sana tanga) alikiri kuna wateja wake walikuwa wakitaka kuzima nyota za watu hasa wanasiasa lkn ilikuwa vigumu mno, hivyo bas mleta mada nakushauri wewe shughulika na mambo yako kuliko kufuatilia watu vinginevyo utaumbuka,
nawaasa kuwa kuna watu wanataka kuzima nyota za watu km vile zitto, lema, mwigulu, january makamba, nawaakikishia hawataweza kwa sababu zile ni nyota zao wamepewa na mungu kwani kwa mazingira ya kawaida ni vigumu sana kutumia nguvu kuzima nyota za watu,
tatizo lako lipo kwenye elimu na uwezo wa kupambanua mambo! hivi hata ukiwa na nyota inang'ara kiasi gani mtu kama Januari hawezi kuwa Rais wa Nchi hii,ila sema mpo mnao ishi kwa kuwategemea hao mnao wataja.poleni,mwambieni zitto aoe kwanza akiweza kutunza familia yake ndio awaze kuupata urais.Ama kuhusu Januari sijui hata nianzie wapi kwasababu hata huo uwaziri umemshinda kupindukia.Vijana acheni kusafiria nguvu za wenzenu,usikute hapo unawaza kuwa akipata tu atakupa mtaji,soma jenga uwezo wako,elimu ndio mkombozi wako tena iwe elimu ya kweli siyo kama hiyo ya kwako ya kudhani mganga anaweza kumsaidi mtu kimaisha.
wewe ndio unadhani ninategemea waganga, kwa taarifa yako mimi nimefunikwa kwa DAMU YA YESU, LKN UJUA TU KUWA KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO KUNA MPAMBANO MKALI SANA, HII NI KITU AMBACHO HAKIEPUKIKI, NAFIKIRI KWA MACHO YA KAWAIDA UWEZI ONA EMBU MPOKEE YESU, ATAKUONYESHA HAYO YOTE, KHS ELIMU MIMI NINA ELIMU YA KUTOSHA NA WALA SITEGEMEI SIASA, MWANASIA NDIO ANANITEGEMEA MIM NIZALISHE NILIPE KODI NA YEYE AWEZE KULIPWA, OTHERWISE WOTE TUKIWA WANASIASA NANI ATAKUWA MZALISHAJI, UNAJIONA BONGE LA MJANJA KUMBE HAUNA KITU, (EMPTY SET IN YOUR HEAD..........)
kule kuwaza tu kuwa binadamu mwenzako anaweza akakuonesha nani ana nyota inayo ng'aa tayari wewe ni mshirikina!! tena mshirikina first class.mwenye shule kamilifu huwa ameelimika na kwa hiyo huwa hatukani watu! wewe shule yako bado.unatakiwa usome tena.wewe ndio unadhani ninategemea waganga, kwa taarifa yako mimi nimefunikwa kwa DAMU YA YESU, LKN UJUA TU KUWA KWENYE ULIMWENGU WA KIROHO KUNA MPAMBANO MKALI SANA, HII NI KITU AMBACHO HAKIEPUKIKI, NAFIKIRI KWA MACHO YA KAWAIDA UWEZI ONA EMBU MPOKEE YESU, ATAKUONYESHA HAYO YOTE, KHS ELIMU MIMI NINA ELIMU YA KUTOSHA NA WALA SITEGEMEI SIASA, MWANASIA NDIO ANANITEGEMEA MIM NIZALISHE NILIPE KODI NA YEYE AWEZE KULIPWA, OTHERWISE WOTE TUKIWA WANASIASA NANI ATAKUWA MZALISHAJI, UNAJIONA BONGE LA MJANJA KUMBE HAUNA KITU, (EMPTY SET IN YOUR HEAD..........)
una maanisha kuwa yeye anaandaa njia ya Makamba Jr kupita?EL ni Yohana Mbatizaji tuu!.
january hana hadhi ya kuwa rais hata kama ni miaka 30 ijayo! Ngoja wamtafune hizo pesa haramu atanyoooka tu,hivi mafisadi hawajishtukii.? Yaaan unihonge pesa then nkuchague kuwa kiongoz? Utazirudishaje hzo pesa? Na umezipataje???

Hahaha as alwaysMakamba ame out source majukumu yake?
Inakuwaje Makamba anatumia muda mwingi
kufanya mambo yasiyo husiana moja kwa
moja na wizara yake?
1. Hivi karibuni tumesikia kawakusanya
wakulima Songea kuzungumzia changamoto
zao
2. Juzi twaambiwa aliwaketisha makasisi
3. Leo kahamia kwa bodaboda ambako pia
hakuhusiani na job description yake
Huyu si miongoni mwa wale mawaziri mizigo?
maana haijulikani ni nani anafanya kazi zake
ofisini
Miaka 10 ndio hii, hakuna malengo yoyote ni rushwa tuJK type, anamalengo ya baadae, miaka 10 mbele.
Ndo anaandaliwa huyo, mambo ya nje ndo wizara ya maandalizi kuja kushika top post. Anajisogeza kwa makundiMakamba ame out source majukumu yake?