JANUARY 2026

JANUARY 2026

azithromycim

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
501
Reaction score
1,094
Habari za muda huu wana JamiiForums.

Uchumi wa nchi umeathirika uchumi wa mtu mmoja mmoja umeathirika kutokana na athari za MO29 na D9.

Hali hii itaifanya JANUARY 2026 kuwa mwezi mgumu sana kuliko kawaida.

Mwaka 2026 utakuwa mwaka mgumu sana kiuchumi bidhaa zitapanda bei tutarajie kuanzishwa kwa kodi mpya na kuongezeka kwa kodi.
 
Plus vikwazo vya EU
 
Hizo ni Dua za kuku. Ghasia za siku 2 zididimize uchumi wa nchi? Labda uchumi wa mfukoni mwako.

Umejitabiria vema.
 
Back
Top Bottom