William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,792
- 2,421
Wakati Tanesco ikiendelea kutukata tsh 5000 kilamwezi kwenye mita za LUKU kama service Charge pekee nje ya garama za kununua umeme. Garama ambayo kwenye mita za analog haipo.
Mi ninashangaa kuona Januari makamba akimpongeza Jk kwa kukataa tozo za simu za 1000 kwa mwezi kwenye ukurasa wake wa kitabu cha nyuso(facebook).
Unafiki ninaouona hapa kama watanzania tunapokamuliwa tena sana wanasiasa wote tunakaa kimya. Vipi wanasiasa hawa kuja kumpongeza laisi baada ya maamuzi na si kupinga hoja hiyo mapema ambayo aliipitisha kwenye baraza la mawaziri?