wanaume kulishana? mnhhhhhh
miss neddy kwao naona ni kawaida....mimi unless watu ni mtu na mwanae au family...kabisa...Nilidhani ni peke yangu nimeshangazwa na hilo...hii haijakaa sawa kabisa!
Hii picha hii ....! Dah
Huyu aliyevaa shati la mikono mirefu na tai nyekundu (2nd left) anatoa tawsira ya "shughuli hii" - Mkono wake wa kushoto...!
Mbona sijaelewa, wamefunga ndoa au vipi?
Huyu mshakaji ana njaa kama nini. Ndoa sio yake ila anajenga hema yeye ni sheedahhHii picha hii ....! Dah
Huyu aliyevaa shati la mikono mirefu na tai nyekundu (2nd left) anatoa tawsira ya "shughuli hii" - Mkono wake wa kushoto...!
kuna wanaume wamejaliwa kutokua na aibu hapa tanzania.
Kawaida tu
Mfano kwenye event
Nilidhani ni peke yangu nimeshangazwa na hilo...hii haijakaa sawa kabisa!
Rais wako huyu dada yangu.Wanaume kulishana keki? makubwa haya!
Amma kweli kila tunavyoishi tunayaona mengi. Sasa huko ndiyo kuiga uzungu au ndiyo vijana si rizki?