Januari 3, 2023 kutakuwa na kupatwa kwa sayari ya Mars

ASSAT ni taasisi ya serikali au NGO fulani?!
 
Wacha tu ipatwe watu tumevurugwa 😂😂asante kwa taarifa lakin
Hahaha kweli hali ngumu, kichwa kinashindwa kupokea taarifa za kiastronomy na kuzifanyia uchambuzi yakinifu🤣🤣
 
KARIBUNI TUJUMUIKE WAKUU, TUKIO LIKO MUBASHARA
 
Ila kama macho yako hauli matembele usitizame, utaumia macho bure.
 
Nipo live mbona sioni kitu
ndiyo maana nimesema kama hauli mboga za majani usiangalie, utaishia kuumia macho.
Mars yenyewe ina ukubwa wa mwonekano wa nyota, na iko pembeni ya mwezi, ukiangalia kwa juu juu utaishia kuona mwezi.
 
Wakuu ni live kabisa... kuna kama nyota ndogo ilikuwa karibu na mwezi mida ya saa moja ila sasa haionekani inamaana imezibwa na mwez ambayo ndo eclipse yenyewe..
 
Wakuu tupeni Update ,mnaona hayo mambo ya wapigaji wa NASA?
Hakuna upigaji mkuu, tukio lilikuwa wazi na bado linaendelea.
Ila mpaka sasa sayari ya Mars imepatwa na mwezi, mida ya saa sita tunatarajia itajitokeza upande wa pili.
 
Hakuna upigaji mkuu, tukio lilikuwa wazi na bado linaendelea.
Ila mpaka sasa sayari ya Mars imepatwa na mwezi, mida ya saa sita tunatarajia itajitokeza upande wa pili.
Ni Upigaji tu wa NASA hamna chochote ,sioni chochote zaidi ya mwezi tu unang'aa kama kawaida(refelection ya mwanga wa jua) ,siioni sayari ya Mars sehemu yeyote.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…