Janja mpya ya trafik 'kupiga pesa' hii hapa!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,636
Reaction score
2,734
Madereva na wadau wengine napenda kuwataadharisha.

Mnapotumia barabara, zingatieni vile vibao vya speed limit vilivyowekwa.
Sasa hivi wazee wa kitochi wamekuja na mbinu mpya.. Yale maeneo ambayo yana vibao vya speed limit anajificha kamanda na tochi yake.

We ukipita pale si unaona hakuna trafik! Basi unaongeza mwendo. sasa hapo yule mwenye tochi aliyejificha anakumulika na kuwatumia taarifa za gari yako na speed trafik aliyeko mbele.

We ukifika unashangaa umesimamishwa na kusomewa madhambi yako.. Hapo sasa lazima thelasini ikutoke.

So cha muhimu unapopita kwenye kibao cha hamsini uwe hamsini kweli hata kama huoni kofia nyeupe, we zingatia tu sheria bila shuruti.. Ni hayo tu....
 
Hii sio mbinu mpya.
 
Sasa hapo wanapigaje pesa, mbona wanakulazimisha kutii sheria, ni kwa nini usitii kabla ya kulazimishwa.
 
Kuna maeneo mengine vibao hakuna (vimeibwa?).
 
Mwaka huu watazisaka sana hela za magari maana bandari imekauka
Biashara zimekauka
 
Kuna maeneo mengine vibao hakuna (vimeibwa?).
Na unawajuwa wezi ni kina nani? Hao hao wanaokupiga ambush. Hushangai sehemu nyingi vibao vinavyoonyesha mwanzo wa speed havipo, unakikuta inapoishia tu lakini cha ajabu zaidi unakutakana na jinga jinga moja liloshibiana supu ya hela za hongo anakwambia umeenda speed. Mi' nitajuaje kama nimeenda speed kama hakuna alama elekezi baada ya kuziiba nyie wenyewe?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Madereva na wadau wengine napenda kuwataadharisha.
Mnapotumia barabara, zingatieni vile vibao vya speed limit vilivyowekwa.
Sasa hivi wazee wa kitochi wamekuja na mbinu mpya.. Yale maeneo ambayo yana vibao vya speed limit anajificha kamanda na tochi yake.
We ukipita pale si unaona hakuna trafik! Basi unaongeza mwendo. sasa hapo yule mwenye tochi aliyejificha anakumulika na kuwatumia taarifa za gari yako na speed trafik aliyeko mbele.
We ukifika unashangaa umesimamishwa na kusomewa madhambi yako.. Hapo sasa lazima thelasini ikutoke.
So cha muhimu unapopita kwenye kibao cha hamsini uwe hamsini kweli hata kama huoni kofia nyeupe, we zingatia tu sheria bila shuruti.. Ni hayo tu....
Itakuwa vizuri kuwatahadharisha madereva kutii sheria za barabarani. Hiyo ndio mbinu pekee ya kuepuka trafik wanaopiga fedha barabarani na pia kupunguza ajali zinazosababishwa na uzembe.
 
Madereva na wadau wengine napenda kuwataadharisha.
Mnapotumia barabara, zingatieni vile vibao vya speed limit vilivyowekwa.
Sasa hivi wazee wa kitochi wamekuja na mbinu mpya.. Yale maeneo ambayo yana vibao vya speed limit anajificha kamanda na tochi yake.
We ukipita pale si unaona hakuna trafik! Basi unaongeza mwendo. sasa hapo yule mwenye tochi aliyejificha anakumulika na kuwatumia taarifa za gari yako na speed trafik aliyeko mbele.
We ukifika unashangaa umesimamishwa na kusomewa madhambi yako.. Hapo sasa lazima thelasini ikutoke.
So cha muhimu unapopita kwenye kibao cha hamsini uwe hamsini kweli hata kama huoni kofia nyeupe, we zingatia tu sheria bila shuruti.. Ni hayo tu....
Mwanzoni umeongea pumba lkn mwishoni umeongea point. Nikurekebishe tu kuwa, hapo traffic hawapigi pesa yoyote, bali wanatoza faini mapato halali kwa ustawi wa JMT. Hakuna hata senti wanayobaki nayo. Ila ukianza kuwalilia wakuachie huku ukitanguliza 10,000/- au 15,000/- hapo nyote mnatakiwa mlale jela
 
Makosa mengi tunajitajikia!haufuatiii sheria tena kibao kimewekwa wazi kabisaa leo hii mtu unaanza lalamika ukikamatwa
Kwa nini naye trafik ajifiche kwani kujifiicha ndio sheria? Hata wenyewe wanafanya makosa hakuna sheria ya barabarani inayomwambia askari ajifiche ili akamate waendao speed kubwa.
Sababu ya kuvaa nguo nyepe sio unadhifu bali kila mtumiia barabara amuone askarii kwa urahisi. Sasa kujifiicha ni kanuni ya wapi na yangapi katika usalama barabarani?
Kinachotokoea wakatii mwingine unakamatwa hata haukuwa speed au mlikuwa mnaongozana magari matatu wewe katikati unakamatwa peke yako.

NB: Madereva mbinu pekee ya kushinda hili suala ni kufuata sheria. Hata sehemu isiyo na kibao usmwage moto tu mpaka 150 huko!. jua nchi yetu speed yake ni ngapi? ndio tembelea hiyo.
 
utii wa sheria bila shuruti ,mashine za tra kwa jeshi la polisi zianze kazi mikoa yote ikiwamo moshi ,Arusha na mingine kusiwe na sababu yeyote ya kuzuia hili ,utaratibu wa vitabu uwekwe kando hauna uadilifu.
 
Back
Top Bottom