Jangwani: Lissu amenisikitisha!


ulitaka ayaiteje haya makitu? including you.
 
ccm ya kichina fekiiii hata mazuzu wanajua.
 
Mamndenyi,hata wewe unatumia KIROBA?JINA ZURI LA CCM NI MAGAMBA!
 
Lissu is very logic kaka. Hawezi kuisifu ccm hata kidogo. Nimeipenda Sana logical presentation yake.
 
Hili na lile la serukamba bungeni tena wakati luninga na redio zinarusha live hewani lipi la kusikitisha?
 
Nyeusi iitwe nyeusi,let a spade be called a spade!Ulitaka waitwe nini au hukumbuki wanaKigoma walivyosema...CDM ni chama cha wakristo,...CUF ni chama cha waislamu..CCM ni chama cha SHETANI.Tundu amewapa haki yao ingawaje ni chungu kumeza lakini inatibu...leave pi as pi.
 

Kitu kibaya ni kibaya tu hata ukikipamba vipi, CCM ni chama kibaya kinasimamia ufisadi, rushwa, ukatili dhidi ya raia, kufilisi raslimali za taifa, dawa za kulevya, kuua Tembo wetu nk nk. Lissu yuko sahihi kuwaita MiCCM na MaCCM. Kwa hiyo disapointment yako iko misplaced! Pole
 
maccm hayastahili lugha ya staha hata kidogo! Kwanza TL katumia lugha ya staha sana... Maccm yanastahili matusi tena ya nguoni
 
Tundu Lissu hana nidhamu kabisa.
Acha aseme hivyo. Ukweli CCM wanaudhi sana hasa wanapotaka kuteka kwa wazi mchakato wa katiba na huku tayari tumejua ile wanayotaka inafananaje! Hawatutakii mema Watanzania!!
 
Kuna tusi zaidi ya kumwita kiongozi wenzako "waongo, wanafiki na wazandiki hadharani" ? MiCCM na MaCCM ni lugha ya kuonyesha kuwa ni watu wasiopenda kubadilika kama CHUMA. Big up Lissu
 
sasa hapo kuna tusi? wewe uliona wapi lissu akiwaita ccm? yeye utumia maccm hata mie nawaita maccm hakuna kosa hapok

Ta Ruttashoborolwa ninkwikiliza na mimi nayaita the same way MASISIEM,MISISIEM,GASISIEM!!!
Kuna haja gani ya kuyastahi magamba,mwosha huoshwa.
 
Tunajadili nini hapa wakati LiCCM Lililoleta hoja limesema limeenda kilabuni....!
 
Pole sana, kama matusi ya wabunge wa utawala wanavyorusha matus dhid upande mwingine na huyaoni badala yake neno ma ccm ndo limekufanya uzime redio. Na kwa hali hiyo utoe kabisa betri kwenye redio ili ubaki hivyohivyo ulivyo

Aliona kwenye redio hafaidi vizuri akaamua kwenda kilabuni kudoea tv huku akikamua Rider..!
 
labda atakoa kura yako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…