Nilikuwa nasikiliza hotuba za vyama vilivyoungana dhidi ya chama tawala sasa hivi lakini imebidi nizime radio na kuelekea kwenye kanywaji, kwa vile sikuweza kuvumilia derogatory language ya huyu Mh. Tundu Lissu.
Katika kueleza mchakato wa yale yaliyojiri alikuwa akitamka, tena bila aibu, staha wala ustaarabu kuwa amekuwa akiongea na miCCM, maCCM na kwa ujumla kwa kutmia lugha isiyostahili kwa mtu msomi, tena aliyeheshimiwa kupewa dhamana ya kuingia bungeni kwawakilisha wananchi kwa kupitia jimbo lake la uchaguzi.
Pengine Msajili wa Vyama inabidi amkumbushe huyu jamaa kuwa derogatory language haijengi na yule uliyemkusudia akiamua kurudisha matusi basi amani inaweza kuwekwa rehani.
Kwa mtaji huu , Lissu anaingia katika wanasiasa wasio na ustaarabu wa kuelezea yale yaliyo moyoni bila kutumia dharau, matusi n.k.
No wonder humu JF , si ajabu yeye ni mmoja wa wanaoutumia matusi kujieleza.
Nawasilisha.
Dung'unyi tumemchoka Tundu Lissu, hakuna maendeleo aliyotuletea mpaka sasa zaidi ya kumzuia ndugu na aliyekuwa mpinzani wake kuunganisha huduma ya umeme kwenye shule za kata Dung'unyi. Hata Kanisa Katoloki Parokia ya Dun'unyi wamemchoka. Ile ladha ya kujifanya anatuhadaa na kesi za vitalu vya madini kwenye kiwanja cha Kanisa imeshaisha. Lissu sio mdini bali ni mtumia dini kuhadaa wanyampaa. Nawaambia atakiona 2015, labda aje na usanii mwingine tofauti na kutuma watoto wa chekechea kuchana picha za Njau.
Ma ccm ni mapanya.
Kweli kabisa nikifikiri huyu jamaa msomi kumbe nilikosea.Watapimwa kwa dharau zao. Hata libaba lake linajua limesomesha litundu lisu lakini halijastarabika.
Acha kutoka povu wewe
Nape anapomuita Dk.Slaa kibabu hua unakua umelala au?
Pale wamentambulisha kama mtaalam na mwanasheria wa katiba, lakini sikuona utaalam wala uanasheria.Nimehuzunika sana. Ninawaonea huruma wananchi wa jimbo lake.
Chama kinachobaka haki ya watanzania milioni 45 utakiita jina gani zuri?
Ona huyu nae, ccm ni maadui wa watanzania, unataka tuwaite kwa jina lipi...tuite lovely ccm?, bandiko lako halina mashiko, hapa unalalamika tu...ni maccm bana, usituchaguliwe namna ya kuwaiteni kama mmeshajichafua, kama mnatufanya maskini,fukara, wajinga, mnabakiza watanzania kesi, mnatulipua mabomu, manatumwagia tindikali, mnauza mdini yetu, manafanya ujangili na kuuza mihadarati sasa tuwaiteje?...
Kuitwa hivo inawapa fulsa ya kujitathimini sifa na weledi wenu kwa watanzania kwa sasa..
Sasa wewe kahaba ndio umeandika kitu gani?Watapimwa kwa dharau zao. Hata libaba lake linajua limesomesha litundu lisu lakini halijastarabika.