kovai tamil taiga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 1,571
- 2,192
Maandamano yalipangwa kuishinikiza serikali itoe majibu ya barua za kuomba kuongezewa eneo.Majibu yanakuja! Na hayahitaji degree kukisia yatakuaje.unazo ekari 3 tu unaomba ekari 12! Kweli uko serious?Serikali izitoe wapi?
Ushauri wanunueni majirani zenu wanaowazunguka kwanza japo zifike 12 ndipo muombe 3!
Kuendelea kulalama eti serikali inatukwamisha ni viongozi wanatafuta sababu ya kufunika kombe! na kuwapumbaza akina mzee Akilimali..!

Hali halisi kwa sasa pale Jangwani !!
![]()