Mh! Al-Muntazir sio taasisi ya kidini hii? Sina shida na wao (Al-Muntazir) kupewa sehemu ya eneo husika kwa ajili ya kuweka vitega uchumi vyao kwa faida ya jamii. Labda, tuambiwe Al-Muntazir siyo taasisi ya kidini au haifungamani na itikadi fulani; vinginevyo taasisi moja ya kidini kukabidhiwa "mradi mzima" tena wa jamii pana kama eneo la Jangwani haiingii akilini.

Mradi wa Jangwani ni mradi mkubwa wa kitaifa ambao umejadiliwa hadi Bungeni kwenye bajeti/hotuba ya waziri husika hivyo unagusa hisia za wananchi wote na ukizingatia hali tete iliyopo hivi sasa umakini wa hali ya juu unatakiwa hasa na serikali na watendaji wake.
mkuu wewe huwa unapangiwa pa kuwekeza?Lazima jagwani si waende kibaha,chanika kupunguza foleni mjini..lazima iwe miaka 99?

Lazima jagwani si waende kibaha,chanika kupunguza foleni mjini..lazima iwe miaka 99?

i dont mind jamaat kuchukua role ya kusaidia bonde la msimbazi ambalo serikali ya CCM imeshindwa kulisimami miaka 50 since independency

nina imani jamaat watafanya kazi nzuri kwani wao si wanasiasa.................

congrats
you are right mkuuMkuu, nafikiri ni jambo zuri kupata wawekezaji wanaojulikana kama hawa mabwana kwenye project husika.
Issue hapa ni kwamba, wamepewa eneo kwa ajili ya project husika? Au wamepata/pewa eneo kwa minajili mingine?
Sijasoma article yote so, sina uhakika na hilo.