Jangili sugu akamatwa kwa kumuua askari wa Hifadhi kwa kumchoma mkuki

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,502
9,282
Vyombo vya ulinzi na usalama wilayani Kyerwa Mkoani Kagera vinamshikilia mkazi mmoja wa kijiji cha Kishanda anayejulikana kwa jina la Kamugisha Alfred kwa tuhuma za kumchoma mkuki na kumsababishia kifo askari wa mamlaka ya hifadhi za taifa Matonda Masungu aliyekuwa akimtafuta ili kumtia mbaroni kutokana na kutuhumiwa kufanya ujangili ndani ya hifadhi mpya ya Rumanyika.

 
Huwezi kumkamata simba kwa mtego wa panya,nashauri na wale wanaokuja kuteka watu nao wapigwe mikuki ya kutosha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom