Janga la kitaifa.

Mwanzo wa Ngoma ni Le! Le! Le!
 
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa "Mwanamke huwezi kamwe kumridhisha" na alituasa kuwa ukifika mshindo wewe basi kama yeye hajafika basi.

Ukiona mtu anakulalamikia kuwa humridhishi basi jua kuwa hata mapenzi yake kwako ni kidogo sana.
 
Watu wanashida sana, unakusanya madude yote hayo utafikiri mganga Wa jadi?

Lakn mtambue kwamba Ng'ombe hanenepi siku ya mnada..
Kuleni vyakula vya asili na kufanya mazoezi tu baasi
At least basi aongezeke uzito tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…