Najiuliza kwa Sauti, ingekuwaje mamia ya vifo vya COVID - 19 vinavyotokea Italy, Ufaransa, China nk nk vingeikumba Afrika.
?? Umoja wa Ulaya wangekuwa kimya hadi sasa?? Si kweli hata kidogo wenzetu wana moyo wa Upendo na Ubinadamu na Akili ya Kidiplomasia hakika tungepata misaada ya kila namna ikiwemo misaada ya Vifaa tiba na Wataalam kama ilivyotokea wakati wa Vifo vya EBOLA.
Nadiriki kusema kuwa AU mmetufedhehesha Waafrika kwani mmeshindwa kupeleka MADAKTARI 1500 (yaani angalau madaktari 30 kutoka kila nchi Mwananchama) happo ITALY kusaidia huduma za Afya kutokana na Kuzidiwa na Kesi za COVID -19.
Hivi mnadhani ni lini sisi Waafrika tutawasaida hao tunaowatukana Mabeberu kila siku? Hatujachelewa wakati ni sasa tuchukue hatua. Vijana tuko tayari....