Jane Triple zero

mambo canta?,
mbona nilikwambia ulete nikutengenezee lakini sijakuona mpaka sasa,
anyway hako kabinti kamo humu na mimi sikaelewagi kabisa,mara kaseme kakaake kafumaniwa na mme wa mtu, yaani vituko !!

Poa kbs mkuu,nishaituma kwa pm hebu icheki ufanye kuitengeneza nicpitwe kuona hizi sred zinazoshangaza watu humu lol!
 
jana kalikuja na thread eti kakake kamfumania demu wake analiwa denda na dereva wa daladala ..basi ile thread kakaitembeza karibu jukwaa zote mbaka sheria..nahisi ali bemendwa af kanatafuta umaarufu..kameingi hata mwezi hakana lakini wamempa u"JF sENIOR Expert Member" hata sijui kanaliwa na mods ndo mana wamekatunuku hako kacheo ka ukuu wa wilaya..hata sielewi

Ni kweli TH aka kabinti mwenyewe nimekashtukia katakuwa kamejipendekeza kwa mod mmojawapo ili kamegwe maana angekuwa mwingine tayari kamekula ban. Yaani kanazurura kutwa majamvini.
 
Kwenu wana wa Jamvi.
Nimeshawishika niteremke na Thread maalumu walau kwa uchache nipate mawili matatu, kufuatia Member anaetajika kwa Jina la Jane double zero.
Huyu ni kiji- binti? Au ni Mdada? Japo hainishughulishi sana kuchangia post zake, ambazo takriban 100% hua nashindwa kuzielewa nizichangieje kwa kutozielewa zinataka nini !.
Haka kam-tu mara nisikie kamelala na Mphamvu mara na nani sijui ! Hapohapo mara kaseme kameanza shule ! Ilimradi habari zake ni utata mtupu!
Mara kanataka/kanatafuta Bwn mwenye pesa ndefu, japo sina hakika kama hiyo ndiyo white path ya kufikia aim yake.
Nachokiomba kwenu members ambao mko karibu na haka ka'binadamu, mkape basi ushauri nasaha kapunguze utata, akileta post humu ziwe zinaeleweka na kujadilika.
Aidha yeye mwenyewe mlengwa akipita hapa basi, atuambie kubwa linalomsibu , members wampe nasaha toshelevu.

lini alidai kuwa amenitunuku mfereji maringo?
 
lini alidai kuwa amenitunuku mfereji maringo?

Kuna thread moja siikumbuki ya lini, niliona kama ina viashiria vya kuonesha hivyo! But am paid apology to you ! Probably hivyo viashiria nilivipa tafsiri yangu ambayo haikua sahihi.
Take it easy !
Note : Excuse for both sides KWAKO na KWAKE
 
Kuna thread moja siikumbuki ya lini, niliona kama ina viashiria vya kuonesha hivyo! But am paid apology to you ! Probably hivyo viashiria nilivipa tafsiri yangu ambayo haikua sahihi.
Take it easy !
Note : Excuse for both sides KWAKO na KWAKE

utakuwa umechanganya na GM wangu.
Nimekusamehe ila sipendi uwafananishe kwa kuwa wale ni kifo na usingizi, if you know what I mean?
 
Nini kinajadiliwa hapa ... Huyo double zero ni Nani..? Kafanya nini ?
 
utakuwa umechanganya na GM wangu.
Nimekusamehe ila sipendi uwafananishe kwa kuwa wale ni kifo na usingizi, if you know what I mean?

Ofcoz confusion ndiyo hiyo ! Kati ya Gm , Gmpoleee na Jane triple wana vitu vinafanana.
 
Back
Top Bottom