Jane Triple zero | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jane Triple zero

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Feb 19, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kwenu wana wa Jamvi.
  Nimeshawishika niteremke na Thread maalumu walau kwa uchache nipate mawili matatu, kufuatia Member anaetajika kwa Jina la Jane double zero.
  Huyu ni kiji- binti? Au ni Mdada? Japo hainishughulishi sana kuchangia post zake, ambazo takriban 100% hua nashindwa kuzielewa nizichangieje kwa kutozielewa zinataka nini !.
  Haka kam-tu mara nisikie kamelala na Mphamvu mara na nani sijui ! Hapohapo mara kaseme kameanza shule ! Ilimradi habari zake ni utata mtupu!
  Mara kanataka/kanatafuta Bwn mwenye pesa ndefu, japo sina hakika kama hiyo ndiyo white path ya kufikia aim yake.
  Nachokiomba kwenu members ambao mko karibu na haka ka'binadamu, mkape basi ushauri nasaha kapunguze utata, akileta post humu ziwe zinaeleweka na kujadilika.
  Aidha yeye mwenyewe mlengwa akipita hapa basi, atuambie kubwa linalomsibu , members wampe nasaha toshelevu.
   
 2. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #2
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  changia tu ivyo ivyo
   
 3. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #3
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,230
  Trophy Points: 280
  ntamwambia mkuu.. huyo ni beki3 wetu xema huwa namwachia pc mara mjamoja akija rum kwangu.!!!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Feb 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Anatafuta muhogo kwa sababu mme wake amfikishi kwa mujibu wake!
   
 5. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #5
  Feb 19, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Mkuu judgement mie nimepita hapa nakusalimu na kukutakia jpili njema,kuhusu unaloongelea hapa nackitika miwan yangu ya mbao ina hitilafu ni muda sasa ndio maana cjafanikiwa kuona hizo sred na muhusika pia!
   
 6. Z

  Zero_brain Member

  #6
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ooooh mama...
   
 7. Blaki Womani

  Blaki Womani JF-Expert Member

  #7
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 8,467
  Likes Received: 3,732
  Trophy Points: 280
  Anatafuta tiba mbadala
   
 8. Ziltan

  Ziltan JF-Expert Member

  #8
  Feb 19, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,350
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  mambo canta?,
  mbona nilikwambia ulete nikutengenezee lakini sijakuona mpaka sasa,
  anyway hako kabinti kamo humu na mimi sikaelewagi kabisa,mara kaseme kakaake kafumaniwa na mme wa mtu, yaani vituko !!
   
 9. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #9
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  vuuuuum!
   
 10. j

  jane_000 JF-Expert Member

  #10
  Feb 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 547
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nimekusoma mzee wangu
   
 11. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #11
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mi nafananisha na Golden Mpoleeee....

  Sasa sijui ni yuleyule ama la!
   
 12. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #12
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  So far anautafuta huo MKASAVATRII kwa nguvu au ?
   
 13. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #13
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Kazana kutafuta utaziona tu !
   
 14. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #14
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280
  jana kalikuja na thread eti kakake kamfumania demu wake analiwa denda na dereva wa daladala ..basi ile thread kakaitembeza karibu jukwaa zote mbaka sheria..nahisi ali bemendwa af kanatafuta umaarufu..kameingi hata mwezi hakana lakini wamempa u"JF sENIOR Expert Member" hata sijui kanaliwa na mods ndo mana wamekatunuku hako kacheo ka ukuu wa wilaya..hata sielewi
   
 15. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #15
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tbag bana...
   
 16. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #16
  Feb 19, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Naona umefunguka.
   
 17. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #17
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  Tbag! Ndo yule2 wa prison break?
   
 18. Adrian Stepp

  Adrian Stepp Verified User

  #18
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 2,222
  Likes Received: 596
  Trophy Points: 280

  Hapana..sina tabia zile ww..ha ha Tbag ni abbreviation za jina langu
   
 19. Mpatanishi

  Mpatanishi JF-Expert Member

  #19
  Feb 19, 2012
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  haaah haaah haaah mkuu we hatari rum kwako duh
   
 20. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #20
  Feb 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Basi shughuli ipo ! Kama ndiyo hivyo usemavyo ndiyo ilivyo !
  So far mie niliyo kaanzishia Uzi majaaliwa yangu yatakuaje ?
   
Loading...