Jane Mponzi wa Vodacom is no more!

Jane ni binadamu kama ulivyo wewe. Tuna kila haki ya kusikia au kupata taarifa za binadamu mwenzetu. Kaka wewe umekuwa ni mtu wa kupata taarifa za watu maarufu tu, basi huna haja ya kuchangia kama unaona sio mtu anayekupendezesha wewe. RIP JANE.

safi sana! mijitu mingine inamaswali ya ajabu sana.
 
Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Akupumzishe mahali pema Jane. Tulikupenda sana lakini Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi.
 
kweli maisha mafupi
poleni wafiwa.>Mungu ampe nguvu mwanae.
 
Kuna watu humu nawasiwasi na roho zao!kama c mapaka ni machui kabisa.
Anyways,
R.I.P My Jane,.we use 2chat on Fb mara nyingi nikiwa online.
 

kazi ipo!
 
Miss you a lot Jane,nntakukumbuka Daima kwani ulikuwa wa kwanza kunipokea siku ya kwanza kuanza kazi pale Voda.as my supervisor was happy working with you.RIP jane
 
OmG!Herry alikuwa kaka wa rafiki yangu,nlihudhuria harusi yao pale diamond jubilee na pia mazishi ya herry mwaka 2008!
Gone too soon Jane!rip Jane.
 
rip! naomba kujua, je ana undugu na bibie mmoja anaitwa grace kwa ubini huo huo??

Mi nataka kujua kama alikuwa na mdogo wake wa kike anateishi Iringa,tena ana duka la cosmetics... Jina limenitoka..
 
Would you please shut up and respect the dead!

Umeanza kutaka kujua yeye ni nani and why the special treatment, then amejitakia kifo do you know her background and the surrounding circumstances that lead to her death?

RIP Jane

Bora umesema ndugu yangu.Mimi nimeshikwa butwaa kumsoma huyo mwenzetu alivyoshindwa kuwa na utu!
Marehemu hayupo tena nasi, ya nini kumshushia maneno yote yale? Istoshe, toka namfahamu huyu mdada ni mnene toka utoto/usichana wake.Sijui huyu nani kamwambia kafa kwa sababu ya chipsi n.k.!
R.I.P Jane.
 
Sisi tulimpenda lkn Allah kampenda zaid! Da jane rest in peace kwn nac 2po nyuma! We're just pass'nby!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…