Jana nimepata surprise ya mwaka kutoka kwa Becky

Huu ndo thread uliyonifurahisha siku ya leo ...sio unachukua namba baadae kidogo calls kibao oooh unafanya nin, upo na nani .........
 
Huu ndo thread uliyonifurahisha siku ya leo ...sio unachukua namba baadae kidogo calls kibao oooh unafanya nin, upo na nani .........
Ukishaonekana uko desperate sana hata mtu anakushusha thamani
 
Haaahaha naomba ulete mrejesho ucjesema eti oooh niliona aibu......ila dhambi ni dhambi tu tusiisifu sana
 
Reason why u were born a Man
Go n make JF Proud bro

Becky kwa jamaa kapuku.....wine moja, namba ya simu, period, JF msitoe POVU......

Go Becky....go go go......Bakari, sorry.....Becky

Hhhhahahahahaha You Made Ma day nigger Go And Suck Her

.........among our tasks is to make them happy and happier,just go for it,do it,make her satisfied bro.
Just be responsible GO GO GO GO guy

U making me proud

Po

Povu wanaruhusiwa ila ushauri ndo sitaki

Ati Beck ni memba wa JF........

Nahisi mimba imetungika kwenye tumbo la Kasinde...... tangu lile tukio litukie. ..... kichefuchefu hakiniishi na kutematema mate kila saa pia kila nikipiga mswaki asubuhi lazima ntapike manjano. ........

Sijui ndo madhara ya lile tukio...... kumbe raha ya utamu chunguu looh sina hamu....

Big up Sana mkuu.

Ngoja nikajilupue kwa wakishua Fulani subiri mrejesho.

Nice bro yo derseve to be with her actually take care most of tht kind of woman act as a parasite to be responsible to somthng

BRAVOOOOOOOOOOOO welcum to the family........nmependa hiiii sana(Let me give you my killer trick ukideal na hawa wanawake... "NEVER.... Narudia tena, NEVER ACT DESPERATE")becky kaliwa kwa chupa ya WINE dadeki buku 15 tu katoa kipapa.
Inasikitisha sana kuona ni jinsi gani jamii imepotea na kuharibika. Watu mnashangilia "uzinzi" na "uasherati" bila hata woga. Mtu anaandika "uzi" wa kujisifia kufanya UASHERATI na watu mnmsifia?? Acheni hizi tabia za hovyo hovyo, vitabu vyote vya dini vimekataza zinaa. MUNGU hapendezwi na tabia kama hizi.

Hakuna mtu anakukataza kuwa na mwanamke; kama unataka kuwa na Mwanamke, oa, acha uasherati, tafuta mke wa kuoa.

Leo hii utaona unachokifanya ni sawa, lakini siku inakuja utajuta sana tena sana tu. Mimi narudia tena kusema, acheni ZINAA, acheni kabisa; MUNGU hapendi hivyo mnavyofanya. Lakini mwenye kiburi na shingo ngumu aendelee tu, mwisho wake atauona.
 
"Talk alots of things cki nzma.. " alaf uko streight hupend blahblah.. nchii ina vijana hatar sana
 
man is a good storyteller, keep it up,now run train on that Becky p*** till her voice gets sole!
 
man is a good storyteller, keep it up,now run train on that Becky p*** till her voice gets sole!
Trust me mate she's just outta the house... And I was the one instisting her to leave... Haha what are the odds????
 
Inasikitisha sana kuona ni jinsi gani jamii imepotea na kuharibika. Watu mnashangilia "uzinzi" na "uasherati" bila hata woga. Mtu anaandika "uzi" wa kujisifia kufanya UASHERATI na watu mnmsifia?? Acheni hizi tabia za hovyo hovyo, vitabu vyote vya dini vimekataza zinaa. MUNGU hapendezwi na tabia kama hizi.

Hakuna mtu anakukataza kuwa na mwanamke; kama unataka kuwa na Mwanamke, oa, acha uasherati, tafuta mke wa kuoa.

Leo hii utaona unachokifanya ni sawa, lakini siku inakuja utajuta sana tena sana tu. Mimi narudia tena kusema, acheni ZINAA, acheni kabisa; MUNGU hapendi hivyo mnavyofanya. Lakini mwenye kiburi na shingo ngumu aendelee tu, mwisho wake atauona.
hivi hakuna jins ya kumtoa hyu mtu jaman JF kwani kufanya matusi ni dhambi
 
Ati Beck ni memba wa JF........

Nahisi mimba imetungika kwenye tumbo la Kasinde...... tangu lile tukio litukie. ..... kichefuchefu hakiniishi na kutematema mate kila saa pia kila nikipiga mswaki asubuhi lazima ntapike manjano. ........

Sijui ndo madhara ya lile tukio...... kumbe raha ya utamu chunguu looh sina hamu....

Ila wewe ni Mbeya sana!
Teh teh teh....
 
hivi hakuna jins ya kumtoa hyu mtu jaman JF kwani kufanya matusi ni dhambi
Wewe ni dini gani ambaye mpaka leo hujui kuwa kufanya ngono na mwanamke ambaye siyo mke wako ni dhambi??

Tendo la ndoa linatakiwa kufanywa na Mume na Mke waliooana tu, nje ya hapo likifanyika ni dhambi.
 
Back
Top Bottom