Jana mheshimiwa rais kanilet down vibaya sana

Udhaifu ni kitu cha ajabu sana...kama mtu ni dhaifu especially kwenye leadership, atajitahidi kadri awezavyo kufanya compensation kwenye mambo anayoamini yatamuongezea strength....ndio maana tulianza kwa kuandama individuals na kashfa zao term ya kwanza. Halafu term ya pili tunaenda na udini na kuonewa kwa msingi wa udini. Hata hivyo mi siwezi kujua nani ni dhaifu, labda Mnyika.
 
Huku nikiwa nahangaika kupinga hoja ya kumtambua mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama mtu dhaifu siku hiyo hiyo ya jana, nikiwa naangalia Taarifa ya Habari TBC1 ikatangazwa kwamba Mheshimiwa Rais amewaahidi viongozi wa chama cha Basket Ball nchini kwamba akienda marekani atawaombea kwa uongozi wa chama cha mpira wa kikapu Marekani ili kiweze kuwapa msaada.

Shit! nikajiuliza inamaana huyu mzee kumbe ni kweli akienda huko nje anaenda kukutana na very low profiled institutions kulinganisha na nafasi yake, kama ni hivyo barozi wetu huko marekani anafanya kazi gani, waziri wa michezo anafanya kazi kama ni kweli wanasiasa au viongozi wa serikali wanahitajika kudevelop relations kati ya vyama hivi viwili vya michezo, au hata ao akina mziya na fares kazi zao ni nini?

Na nikajiuliza swali la ziada kwamba, inamaana mheshimiwa rais bado amebakiwa na uwezo wa kupanga safari ya kwenda marekani ghafla namna hiyo katikati ya kipindi kigumu kwa serikali yake kuitetea bajeti yake bungeni?

Katika hili mheshimiwa rais amenisononesha sana,

mkuu unatwanga kote kote sio jana ilikuwa ni kuitwanga chadema leo ni jk dhaifu msimamo wako uko wapi? au ni mzee usiofungamana na upande wowote? kura yako itaangukia wapi au jamii inayokuzunguka utawapa elimu gani wawe upande gani na wawe na maamuzi gani?
 
Ni dhaifu:A S-coffee:
 
Mkuu msimamo wangu ni thabiti kuona kwamba chama cha mapinduzi kinaondoka madarakani, lakini siko tayari kufanikisha hilo huku damu ikinitoka,

Pili, Rais ni symbol ya Taifa langu, siko tayari kumdharirisha kwa sababu hiyo tu. ndio maana msimamo wangu wa jana ulikuwa ni kuangalia kama tuko tayari kumuita rais wetu ni dhaifu hata mbele ya wageni, yaani unamvua mzazi wako nguo waaaaaa mbele ya majirani, as simple as that
 
Huku nikiwa nahangaika kupinga hoja ya kumtambua mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama mtu dhaifu siku hiyo hiyo ya jana, nikiwa naangalia Taarifa ya Habari TBC1 ikatangazwa kwamba Mheshimiwa Rais amewaahidi viongozi wa chama cha Basket Ball nchini kwamba akienda marekani atawaombea kwa uongozi wa chama cha mpira wa kikapu Marekani ili kiweze kuwapa msaada.

Shit! nikajiuliza inamaana huyu mzee kumbe ni kweli akienda huko nje anaenda kukutana na very low profiled institutions kulinganisha na nafasi yake, kama ni hivyo barozi wetu huko marekani anafanya kazi gani, waziri wa michezo anafanya kazi kama ni kweli wanasiasa au viongozi wa serikali wanahitajika kudevelop relations kati ya vyama hivi viwili vya michezo, au hata ao akina mziya na fares kazi zao ni nini?

Na nikajiuliza swali la ziada kwamba, inamaana mheshimiwa rais bado amebakiwa na uwezo wa kupanga safari ya kwenda marekani ghafla namna hiyo katikati ya kipindi kigumu kwa serikali yake kuitetea bajeti yake bungeni?

Katika hili mheshimiwa rais amenisononesha sana,

Hakya Mungu, kwa hiyo muda si mrefu anasepa! si wali sema wakwiba hela za mishe mishe zake! huyu mdingi noma
 
Ndugu Sangarara, mwanzoni tu nilipojiunga JF post zangu nyingi ilikuwa kumponda JK. Baadae nikafikiri nikaona labda hii ya kuponda ponda tu kila wakati na kuwa too negative na rais wangu labda siyo njia sahihi. Ninajiumiza bure na kichwa kuuma kwa ajili ya kumponda mtu ambaye kwake yeye maisha ameshayaweza, kwa namna ya kushangaza yupo ikulu, na watanzania wenzangu wala hawaoni kama huyu mtu tulienae sie. Nikaamua kutojishughulisha na mambo ya Kikwete, after all amebakiza miaka michache tu tuanze historia nyingine ya utawala.

Lakini kila ninapojitahidi kutomwazia mabaya....rais wangu hasaidiki. Miongoni mwa maeneo yanayonikera sana kwa huyu mzee ni issue zake za marekani na wazungu. Ukiachia mbali kupuyanga kwake kwa ajabu, anatuaibisha sana pia watanzania kwenye ulimwengu sasa. Anaomba omba mno mpaka inakuwa mtu unakosa raha kujitambulisha kama mtanzania kwenye ramani ya dunia. Heshima ya taifa ni mambo mengi lakini kubwa mno ni kijisitiri. Huyu bwana hajui hata kujisitri, rais wa nchi unaenda kuomba hela kwenye vyama vya michezo? Oh come on!

Anyway, nitaendelea na policy yangu ya kutomweka sana akilini mwangu huyu mtu. Mke wangu na mwanangu watanipa raha kwenye hii nchi ya aibu.
 
Huku nikiwa nahangaika kupinga hoja ya kumtambua mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama mtu dhaifu siku hiyo hiyo ya jana, nikiwa naangalia Taarifa ya Habari TBC1 ikatangazwa kwamba Mheshimiwa Rais amewaahidi viongozi wa chama cha Basket Ball nchini kwamba akienda marekani atawaombea kwa uongozi wa chama cha mpira wa kikapu Marekani ili kiweze kuwapa msaada.

Shit! nikajiuliza inamaana huyu mzee kumbe ni kweli akienda huko nje anaenda kukutana na very low profiled institutions kulinganisha na nafasi yake, kama ni hivyo barozi wetu huko marekani anafanya kazi gani, waziri wa michezo anafanya kazi kama ni kweli wanasiasa au viongozi wa serikali wanahitajika kudevelop relations kati ya vyama hivi viwili vya michezo, au hata ao akina mziya na fares kazi zao ni nini?

Na nikajiuliza swali la ziada kwamba, inamaana mheshimiwa rais bado amebakiwa na uwezo wa kupanga safari ya kwenda marekani ghafla namna hiyo katikati ya kipindi kigumu kwa serikali yake kuitetea bajeti yake bungeni?

Katika hili mheshimiwa rais amenisononesha sana,

Japo jana ulimtetea, kwa matamshi yaliyopigiwa mstari na mengine in Bold umetoa ujinga na ukurutu katika akili yako na kukiri JK ni Dhaifu.......
 
mvaa tai, hichi kipiha hapo nimekipenda...jamaa kama anatembea kuelekea mbele au nyuma?hahahahahaha!
 
Back
Top Bottom