Mzee Kijana
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 1,406
- 1,088
wanauze vikongwe yaani anakuwa na mimba ila akijifungua hata anyanyuki tena.halafu wanapenda uende kumchukua usiku .ukiamka asubuhi ngombe ana mvi balaa amezeeka yaani
Una vituko wewe!! Ng'ombe ana mvi? Hahahahahahahahahahahahahah!!!!!